Tanzania: Wasomi na Viongozi wenye PhD feki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania: Wasomi na Viongozi wenye PhD feki!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Jan 13, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  NAKUMBUKA ILIKUA HIVI......................Uozo wa Phd Tanzania

  Wafuatao wana vyeti feki vinavyoitia aibu Serikali na nchi kwa ujumla:

  (1) Salmin Amour – Ph.D yake ni feki, ya kisiasa. Aliipata Ujerumani Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na cheti cha form four tu!

  (2) Pius Ng'wandu – Ph.D yake ni feki. Chuo anachodai kusoma cha Stanford, Marekani hakina kumbukumbu zake. Aliosoma nao huko Marekani, akina Prof. Baregu, wanajua kuwa ana Masters tu!

  (3) Mary Nagu – Ph.D yake ni ya kununua kwenye mtandao.

  (4) Emmanuel Nchimbi – Ph.D yake ya uchumi ni ya kununua. Hana uelewa wowote wa economics kichwani mwake.

  (5) Makongoro Mahanga – Ph..D yake ya ugavi ni ya kununua kama Nchimbi.

  (6) Didas Masaburi – Ph.D yake ilinunuliwa pamoja na ya kaka yake Makongoro.

  (7) Norman Sigallah – Ph.D yake ni ya kununua kwenye mtandao.

  (8) Mafwenga – Ph.D yake sawa na ya Sigallah

  (9) Nangale – Ph.D yake ni kutoka chuo kimoja bomu cha chini ya viwango, London .

  (10) Mathayo David – Ph.D ya kujipachika.

  (11) Mutamwega – Ph.D yake ni feki, ya kununua. Mhusika hawezi kuandika hata sentensi moja sahihi ya Kiingereza.

  (12) Lukuvi – Masters yake ni feki. Kaipata akiwa na sifa za elimu ya darasa la saba na cheti cha ualimu, class C..

  (13) Samuel Chitalilo – Vyeti vyake vya elimu ya juu toka Uganda vyote ni feki. Ana kesi ya kujibu mahakamani!

  .....Mhe. Diodorus Buberwa Kamala, Mbunge wa Mkenge na Waziri wa A. Mashariki.
  Huyu bwana kasoma Mzumbe kama Nchimbi ambako mtandao wa vyeti feki ulianzia na Mkuu wa Chuo hicho Bw. Warioba. Ph.D yake ni feki, ni ya kununua kama hizo za wenzake aliowataja Ijabu.

  Hata kwenye Bunge la A. Mashariki tunaambiwa anapwaya ile mbaya. Naibu wake, Mohamed Aboud, yeye ndo balaa maana ni form four failure na CV yake inasema uongo kuwa ana diploma ya Uingereza! Wote ni Ze Komedi mbele ya Wakenya, Waganda, Warwanda na Warundi!

  Yupo huyu mama wa Kibaha, Zaibab Gama. Anajiita Dk. wakati ana diploma ya radiology tu!

  Kuhusu Mbunge Savelina Mwijage (Viti Maalum, Kagera), huyu ana matatizo makubwa maana anatumia jina la marehemu. Taarifa zote zilitoka gazetini, lakini analindwa. Hawezi hata kuandika jina lake, lakini ni Mbunge. Anayebisha aje na ushahidi maana huyu mama namfahamu miaka mingi akiwa mfanyakazi wa ndani wa Mhindi Bukoba.
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kaka umetumia dudukiller.
  hakuna mende atakayepita mitaa hii.
   
 3. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Teh wanasoma wanasepa.
   
 4. m

  massai JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sishangai mwanafunzi
  kumaliza,form
  four
  alafu
  hajui
  kusoma
  nakuandika
   
 5. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Aliyekwambia ccm inaangalia vyeti ni nani? hata ukiwa na cheti cha phd kutoka manzese ambako hakuna chuo kitapokelewa tu
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo serikali inajua yote hayo lakini kimya!
   
 7. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ni heri ya hz p hd feki kuliko uwongo unaoueneza humu.
   
 8. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Hii kitu aliichambua vyema Msemakweli kwenye kile kitabu chake( jina la kitabu limenitoka) . kuna baadhi ya viongozi walitishia kumshitaki akiwemo Lukuvi, makongoro na masaburi sijui waliishia wapi. hivi kesi ilishafunguliwa au bado? manake walikanusha vikali kwenye vyombo vya habari na kutoa msimamo wa kumsue
   
 9. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  nadhani ndio sababu, kwani PhD;

  hutesa sana unapofanya kinyume na hali halisi

  hutesa sana usemapo uongo

  hutesa sana unapokuwa cheap

  tuendelee................
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,972
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Pamoja na ukweli kwamba hayo uliyosema yanaweza kuwa kweli,lakini kwenye red kuna mushkheri kidogo au post yako ilitarajiwa kuwa imetumwa kabla ya kwisha 2010.
   
 11. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mhh...was expecting more proof on these allegations! Ni sawa na mimi niseme kwenye mwezi kuna maji alafu nimalizie hapo!
   
 12. Zawadi B Lupelo

  Zawadi B Lupelo JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2017
  Joined: Jul 19, 2015
  Messages: 1,865
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  Mimi nilikuwa sijui aisee
   
Loading...