umetumia application gan kueditt nzur sana aiseeView attachment 397023kila kinachotokea kwenye ulimwengu wa macho ya kawaida ni replica ya ulimwengu wa roho! (Ushirikina ni mkusanyiko wa juju uchawi ulozi chumaulete kuwanga nk)
Tunapozungumzia kanda maalum ya kitu maana yake ni kwamba eneo hilo lina uhitaji wa ziada wa huduma fulani
..mfano Dar kwa sasa ni kanda maalum ya kipolisi kutokana na matukio ya ujambazi kushamiri! Kariakoo kwa sasa ni kanda maalum ya kodi za mamlaka ya mapato Tanzania kutokana na uhitaji wake!
Eneo lote la pwani ya Dar nenda mpaka bagamoyo msata wami pangani mbwewe mkata mpaka tanga mjini ni kanda maalum ya ushirikina
Hapa ndio kuna vilinge vingi vya ushirikina kuliko sehemu nyingine yoyote Tanzania, hapa ndio kuna wachawi waganga na walozi(kwa ujumla wao washirikina wa kila aina)
Hapa ndo kuna kila aina ya matibabu kuanzia miti shamba tunguli kisomo mpaka uganga/uchawi wa kitabu
Unaweza kwenda mikoani na sehemu tofauti kama gambosh nk lakini ukashindwa kwa hakika kukutana na ushirikina halisi....huu ukanda hukosi
View attachment 397030
Kwanini ukanda huu lakini?
Mazingira na jiografia yanaruhusu, malighafi za baharini na nchi kavu vinapatikana kwa wepesi urahisi na kwa wingi! Taka viungo vya binadamu hupati shida! Taka makombe na mazao bahari mengine ni rahisi mno! Taka variaties ya mizizi miti magome na hata matunda na majani huku sio tatizo kabisa
Lakini kwanini isiwe ndani ya Dar na ni nje ya Dar na maeneo ya karibu au mbali kidogo?
Ushirikina ni mambo ya kiroho zaidi yasiyo na ithibati za kisayansi! Yanahitaji ukimya utulivu upweke usiri uchache wa watu na kitu chochote kilichoendelezwa na binadamu kwenye ulimwengu wa teknolojia..teknolojia na usasa ni sumu kubwa kwenye ushirikina
Unaposhuhudia misafara isiyokoma kwa waheshimiwa sana Unaposhuhudia ajali za kila siku! Unaposhuhudia upotevu wa watu wazima na watoto! Unaposhuhudia mambo ya ajabu ajabu usishangae sana bali jua kwamba uko karibu kabisa na ukanda maalum wa kishirikina View attachment 397053
Una uhakika na unachokisema?? Kua katika mitandao ya kijamii kunawezaje ku proove taaluma ya mganga na kazi yakeNi kweli kabisa mr; mshana. Mchawi ama mganga wa kweli hawapo kwenye mitandao yoyote ya kijamii.
Mr mshana naomba contact zako tuwasiliane ndugu yangu.
Huyo bibi anaitwa Kalembwana,hajawahi kuacha ila alifariki kwa sasa hiyo kazi ya kutoa uchawi anafanya mtoto wake.Vip sumbawanga?
Na je utatusahau vp watu wa morogoro-Malinyi zaman ikijulikana ulanga ambako kulikuwa na bibi aliekuwa anawatoa uchawi na kuacha kabisa na kuwa mtu mwema hata uwe mchawi wa wapi hapa tz.
Tena ukiuliza kwa bibi lazma ufikishwe kwake
Nawasilisha hoja
Mganga wa kweli hana huo muda wa kukaa na kujitangaza ktk mitandao. Wala hutoweza kusikia habari zake mitandaon pia mganga wa kweli hata hii mitandao haijui. Hawa wa mitandaon ni wababaishaji tu ndo kama kina manyaunyau, feki nk. Hata hapa Jf kuna watu wanajitangaza kwamba wao ni waganga sijui nn hakuna lolote, wanaingia mitandaon kwajil ya kulaghai RAIA, unampigia simu mganga kumweleza shida yako then kisha anakupa bei za garama ya hiyo kaz, anakutajia garama kama mfamya biashara wa mtumba pale big brother anavyokupa bei ya jeans, kisha anakwambia nitumie hiyo ela kwa M-pesa! Wiz mtupu pesa mbele kama baamed wa bar!

Asante sanamshana jr bana, unatoa vitu adim sana, unajua m nlikuaga cjui chochote juu ya haya mambo lakn umenfumbua macho, now naamin kuna watu wanaish kwa kutegemea uchawi. kitu nlichojfunza n kwamba mambo ya uchaw n iman ya mtu. mf mim siamin ktk uchaw na ushrkna nafanya maisha yang kwa iman kuwa mungu atanpa mkate wa kila cku na kunlinda. nmesoma kwa iman, nafanya biashara kwa iman na naamin kuwa mung ndo mkuu wa vyote. ila nna marafk ambao iman zao n bila kwend kwa mganga anaamn mambo yake hayawez kwenda sawa
Ni utafiti na kuamua kubobea katika mambo haya. Sasa hivi kuna chuo huko kusini kinatoa digrii ya uchawiMh,Mshana unajuagaje mambo haya?