Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

.... huna la kumpa KANALI Ghaddafi ila kumuombea dua tu huko aliko MUNGU amuweke mahala pema..

Sio vibaya na kumuenzi kwa kutumia picha yake as AVATAR...

Col. Gaddafi , ni nuru iliyozimwa katika kuikomboa Africa, maana wengi tuliobaki nao ni tumbo mbele maendeleo nyuma.

Daima, apumzike Kwa amani.
 
Ninyi ndo watu mnao takiwa zaid kwa sasa. Asante sn umeukonga moyo wangu endelea kutema Cheche. Mungu akubariki sn.
 
Kuna watu wanatia hasira sana yani

Uongozi wa JamiiForums tusaidieni kutatua hii changamoto pls

Cc Maxence Melo
Mkuu, hakika ni jambo la kukwaza kwa thread ndefu kuwa quoted pasipo haja ya kufanya hivyo.

Katika kupunguza changamoto hiyo, tulilazimika (kwa desktop version) kuweka namna ya kufupisha maneno yanayonukuliwa. Bado tunaangallia uwezekano wa kufanya hivyo kwenye APP yetu pia.

Hata hivyo, tunatoa wito kwa wanaoshiriki mijadala kutokunukuu uzi mrefu ili kupunguza kero hii kwa wasomaji.

Asante.
 
''Hakuna kiongozi Mzalendo atakaetokea tena katika Bara la Afrika" My Head Master(2011)
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Shule niliyosoma Secondary wakati wa sekeseke la kutafutwa Qaddafi ili auawe.

The Bold heshima kwako kwa kazi nzuri na ngumu ya kufanya utafiti juu ya Kiongozi Muammar Qaddafi, nimeyajua mengi kwa kina zaidi mbali na kumjua kwa blaablaa tu.

''Uzalendo ni kitu kigumu sana kinachohitaji moyo wa dhati.''

Shukrani tena The Bold
 
Back
Top Bottom