Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Good
 
Safi sana mkuu,inawezekana tabia ya kujiuzulu na kurudi tena madarakani,bwana yule wa CUF alijifunzia kwa Muammar.
 
Capt Tamar the forgotten fan!
 
Mkuu the bold hongera sana,huwa sichoki na mabandikoyako hapa jf,plz nitag hapo kesho ukianza nnhwe ya pili na yamwisho,pia naimbi kama utakubali weka no yako hapa au pm tukupatie vocha au kahawa kidogo
 
The Bold ,
Heshima kwako mkuu,

Umenikumbusha mbali sana kuhusu OMARY AL MUKTAH, I was a little boy at that moment,
Kumbe huyu jamaa alikuwa anatokea LIBYA,
Sikufahamu kabisa aisee,
CHUKUA LIKE MKUU kama ishara ya heshima yangu kwako.
 
Ahsante Sana , mkuu, ISIS,, Kwa picha hii ya Col. Gaddafi, ndiyo iko avatar yangu Kwa sasa!!
.... huna la kumpa KANALI Ghaddafi ila kumuombea dua tu huko aliko MUNGU amuweke mahala pema..

Sio vibaya na kumuenzi kwa kutumia picha yake as AVATAR...
 
Mkuu the bold unamaanisha sun yat sen baba wa taifa la china na ataturk wa uturuki ndio walioandika historia ya george washington,ama ni mimi ndio sjakuelewa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…