Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

IMG_0381.JPG
Roho yake!
 
The bold, Safi Sana!
Nimeisoma yote hii simulizi,
Nimekupatia like yako

Kisha nikasoma comments zote za wadau,

Sasa, nabadilisha avatar yangu kutoka kwa Kim Un wa North Korea baada ya kumtimua USA;
na kuweka ya The Great Leader, the late, Col.Gaddafi. May His Soul Rest in Peace. Amina!!

Ni kiongozi ninayemkubali hadi kesho kutwa. Japo, hatunaye tena katika ulimwengu huu wa wazungu koko wanafiki sana.

Mwisho, kwa heshima na taadhima, naomba nami uni-tag kwenye uzi huu na zingine zijazo!!

Ahsante na uwe na mwendelezo mwema wa weekend!
 
Shukrani sana mkuu.. Tuko pamoja!

Nimekuongeza kwenye taglist..
 
Back
Top Bottom