Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Daaah,Gaddafi atakumbukwa sana
 
Ningependa ugusie jinsi Gaddafi alivyoshiriki kulipuliwa ndege kwenye anga ya skotilandi
 

Yani tukisema waarabu akili zao hazipo sawa ndo kama hivi, watu wanapata some services for free au kulipia kidogo sana na bado mnaona hamridhiki akati huo kuna akina sisi huku hizo opportunity hata hatuzipati na tunazililia sana kweli binaadamu haturidhiki hata Kwa kidogo tunachopata. Ila toka aondoke ndo wamejua umuhimu wake kwa tabu wanazopata kila leo watu wanakufa huko baharini wakitaka kuenda ulaya kisa libya maisha yamekuwa magumu.
 
marekani na watu wake ni watu wabaya sana.....hata humu nchini kwetu wanao vibaraka wao tunawasikia wanavyo ropoka ropoka hawana jema
 
Mkuu the bold kwa niaba ya wananchi wangu wa kijiji cha Geza ulole tunakushukuru kwa muda wako ulioutoa kuandika makala hi mujarabu
 
Dunia nzima ilikuwa inajua kuwa Gaddaf alikuwa dicteta katili, Aliwaua wapinzani na kuwazika katika kaburi moja kama mizoga,alitembea na mahema ugenini kwa sababu aliamini ugenini anakokwenda ni najisi tupu,alikula chakula alichoandaa yeye kwa sababu chakula cha wengine kilikuwa najisi.Alichukiwa na mataifa yote kwa sababu ya dharau na kung'ang'ania madaraka, ndo maana baada ya kufa hakuna taifa lililosikitika na kufa kwake.Alizikwa na familia yake peke yake.Angekuwa mwadilifu angezikwa kwa heshima na dunia nzima kama Mandela na Nyerere.Hapa Tanzania ana historia mbaya ya kuua Watanzania wasio na hatia kwenye vita ya Kagera kwa kutuma silaha za hatari kumsaidia Idd Amin.Utajiri wa Libya haukuwa mali yake binafsi, hata wengine wangetawala utajiri ungekwepo na ungewasaidia Walibya wote.Huyu alisitahili kifo kwa sababu na yeye aliua kwa upanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona unaharisha tu pasipo kujua kwa sasa watu walibya wanamliliaje kiongozi wao...marekani ni taifa hatari sana linapoona maslahi yake yameingia dosari na sumu hizo alowalisha mnazoharisha humu kwa magreat thinkers unaonekana kituko..kwa sasa ukiongea kauli kama yako hiyo uko ndani tripoli unakatwa kichwa....[emoji4] [emoji4] [emoji4] Gaddafi ndo mfia afrika wa kweli ambaye sina hakika kama atakuja tokea mwingine hats miaka mia ijayo[emoji24] [emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii dhana ya kutupia lawama wazungu kila aina ya uovu Afrika ni uthibitisho tosha kabisa kuwa Waafrika bado wajinga sana, hivi Gaddafi wakati anaua wale wakosoaji wake na kufanya madaraka ya urais kama ya familia yake na ukoo wake alikuwa akifanya hivyo akiwa ameshikiwa pangu na wazungu shingoni ?
 
Kwa sasa Libya kamwe haitawaliki, haitawaliki kwa sababu Gaddaf aling'ang'ania madaraka na kuwanyima nafasi Walibya wengine kutawala.Sasa baada ya kuuawa na Walibya wenyewe wafuasi wake wanataka waendelee kutawala wakati wapinzani nao wanataka kutawala.Hii ni vita ya kuwania madaraka ambayo haiwezi kwisha. Udikteta wa Gaddafi ndio ulioleta kadhia hii yote.Nakushangaa unaposema Gaddafi alikuwa kiongozi makini na mwadilifu wakati baada ya kufa hakuna taifa hata moja duniani lililoshituliwa na msiba wake.Alikufa na kuzikwa kama mbwa na zaidi familia yake tu ndio waliomzika.Angekuwa kiongozi mwadilifu angezikwa na duniani nzima kama ilivyokuwa kwa Mandela na Nyerere.Wewe unaemtetea Gaddafi ndo unaeharisha kwa sababu unatetea kitu kilichokuwa kimeoza kiasi cha kuwa chukizo kwa dunia nzima.
 
Una udhibitisho gani wa kutuambia kuwa Gaddafi amezikwa na familia yake...?
 
Kwa taarifa tu wanae walokuwa wanaitwa magaidi na utawala wa Obama na vibaraka wake wameitwa na wamesharejea kuchukua mamlaka muda na wakati wowote wanakabidhiwa nchi hao vibaraka wenu wameshindwa kuirejesha libya ktk misingi na utamaduni wa walibya wamebaki kugombea utahiri tu...
 
Usiulize swali juu ya swali...!

Naomba jibu kwanza...
Fungua link za You Tube utaona alizikwa na watu wangapi.Hata dictator Mabutu Sseseseko wa Kongo alizikwa na watu wasiopu gua saba, hii ni ishara kuwa udictator ni chukizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…