Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Shukrani sana mkuu The Bold
Maji nimeyanywa ila kiu bado haijaisha, nasubiri tena toleo la Tatu ili niweze kimaliza au kupunguza kou yangu juu ya huu Uhondo.
Pamoja mkuu! Soon sehemu ya tatu
 
Ni wazo zuri sana mkuu...

Sometimes huwa nafanya hivyo ila mods naona wanarekebisha heading.!!

Kwa hiyo nadhani moderators ni vyema wakiona hii... Waniruhusu kuanza na utambulisho wa "The Bold:......." Kwenye headings za nyuzi zangu.




Cc: Maxence Melo, JamiiForums, Cookie, Invisible, Mhariri, Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4, Mod 5
 
Kweli kuna nchi hatari sana pamoja na yote waliyofanyiwa bado watu wanaandamana na kumpinga? Hao wananchi wangekua bongo sipati picha patashika yake.
Story safi sana mkuu THE BOLD.
 
Dah heshima kwako mkuu THE BOLD umefanya usiku huu kumkumbuka kanali Muammar Gaddafi.... Eeh mwenyezi mungu mfanyie wepesi mja wako kwa yale yote aliokukwaza na mpumzishe kwa amani.
 
pamoja mkuu The Bold. plz ni tag ukidondosha sehemu ya tatu na zinazoendelea. kwani kwangu umekua msaada mkubwa sana katika secta ya chakula cha ubongo. na nina kundi la watu nyuma yangu wanafaidika na hizi makala zako murua maana kama nilivyowahi kukwambia mtaani naitwa TEACHER kwa sababu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…