Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Ghadafi ni mmoja wa my role modes na niliumia sana namna alivyotendewa. Kila nikisoma habari zake moyo wangu unaumia sana kwa alivyosalitiwa.

Kweli kitu huwa kizuri ukikipoteza tena hasa kwa upuuzi.

Asante The bold.
 
Huyu Ghdafi alikuwa na akili ya kuzaliwa!

Below 30 kuongoza Mapinduzi sio jambo la Mchezo Mchezo , Kizazi cha Google Miaka 30 bado yupo kwa Wazazi au ndio kapanga ghetto anamiliki sofa na kitanda tu na smartphone
Pohamba naona unanisema kiujanja.Nimesha Hama ghetto nina kibanda Na sasa namiliki sofa 2,kitanda Na kabati 1 Na jiko la gas Na la mkaa Na bila ya kusahau smartphone.
 
Shukrani sana mkuu The Bold
Maji nimeyanywa ila kiu bado haijaisha, nasubiri tena toleo la Tatu ili niweze kumaliza au kupunguza kiu yangu juu ya huu Uhondo.
 
 
Kumbe mapinduzi ni rahisi kiasi hicho??? Kwa hapa bongo redio inayosikilizwa sana ni EFM so ukienda pale unamaliza kila kitu[ natania lakini]
 
Waiting for...
 
Mkuu hongera na asante kwa kutupatia chakula kizuri cha ubongo sisi wavivu wa kusakanya materio mbali mbali.

Lakini nikuombe kitu kinoja kama ikiwezekana uwe unatufanyia sisi wasoma headings tu kwenye majukwaa...

Mfano mimi husoma vichwa vya habari tu,nikivutiwa na heading ndo naifungua ili nipitie,sasa kuna wakati threads zako nazikuta zilishafikisha siku mbili tatu,na hata ukiniweka ktk taglist yako nadhani ninakua nachelewa kuona...

Sasa ombi langu ni kwamba,anza na neno THE BOLD ktk kila heading subject ya thread zako mpya,ili mtu akioona iyo neno tu...afungue mara moja.

Mfano hii ungeianza hivi:-

THE BOLD:"Kanali Muammar Gadaf......"

Yaani utakua umetuokoa sana sisi...

Thanks
 
The Bold ,
Heshima kwako mkuu,

Umenikumbusha mbali sana kuhusu OMARY AL MUKTAH, I was a little boy at that moment,
Kumbe huyu jamaa alikuwa anatokea LIBYA,
Sikufahamu kabisa aisee,
CHUKUA LIKE MKUU kama ishara ya heshima yangu kwako.
Mwaka 1900 ulikuwa kijana mdogo?? Au ulikuwa unamaana gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…