think center
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 485
- 529
Ni elimu kubwa nimeipat mkuu, hakika Nashukuru mno
Amen! Asante mkuu..Ubarikiwe mkuu
Pamoja broh..Umetisha mkuu
Shukrani sana mkuu..Mkuu information is power and you have got one, you can take us to other side, just make it happen bro.
Pamoja sana mkuu..Great narrative skills!!




Kabisa mkuu... Kulikuwa na mengi mazuri aliyafanya kwa Walibya!Tupo pamoja katika hili huyu jamaa alikuwa na mapungufu yake kama binadamu wote tulivyo ila pana makubwa mengi mazuri kawafanyia walibya
Shukrani sana mkuu.. Pamoja sana!Sijawahi kujuta kusoma makala zako,keep up the good work mkuu.
Tayari nimekuongeza kwenye taglist mkuu..Mkuu niongeze kwenye tag list yako plizz, nimekuomba siku mob
Pamoja sana mkuu... ShukraniNi elimu kubwa nimeipat mkuu, hakika Nashukuru mno
Hakika... Kuna mazuri mengi sana aliyafanya Libya!Asee nzuri sana,hii nimeisoma kwa makini sana na nimepata kufahamu mambo mengi,kiukweli hayati gaddafi alikuwa mzalendo kwa taifa lake.alifanya makubwa sana kwa nchi yake.
Asante sana mkuu The bold kuniongezea kitu kichwani kwa historia nzuri sana hii.
Shukrani sana Chief! Pamoja..This story is super cool. Nimekuwa nikusoma sima sana habari za Gaddafi, with this documentary nadhani kiu yangu itapata kuisha. Thanks Chief!
Tayari mkuu nimekuongeza kwa taglist..Please ni tag mkuu manake hii nondo iko vzr
Pamoja sana chief..shukrani mkuu kwa utirio huu murua..