TANZIA Kanali Dkt. Moses Mlula afariki dunia kwa ugonjwa wa Covid 19 nchini India

Tuchukue tahadhari, ugonjwa bado upo
Kuna dada mmoja muhindi yupo hapo Kenya, familia yake yote imeugua na wao waliweza jua kwamba mdudu kaingia kupitia kwa watoto zao...

Luckly, yeye na mumewe walikuwa washadungwa chanjo wakapata zile dalili hafifu zisizoleta kuugua...
 
Idadi kubwa wapi mbona Marekani wamekufa laki 5 (500000) na maisha yanasonga.

Kwa mawazo haya ndiyo maana kuna maoni kama haya:

IMG_20210503_120234_815.jpg

Yanayokuja kuonekana kama kejeli kumbe ni watu kuvunjika moyo mwisho.

Busara na elimu zetu ziko wapi? Au ni haya kina msukuma kama marubani?
 
Kweli Bwana Mama Rais wetu atoe tamko kuhusu korona ile tume yake ya Corona haijatoa majibu? Je ndege za India zinatua hapa? Je wahindi wetu hawa wanaenda India?
 
Hi radi inanyemelea ukishtuka TAYARI

Ujima wa matunguri utatukosti
Jinga sana wewe, unadhani una ujanja kuliko wahindi ambao pamoja na chanjo yao ya covid bado wanakufa sasa wewe kapuku unataka sayansi gani?
Unataka wakuwekee kisiki nyuma ndo ujue kuwa covid bado inauwa hata wale wenye ujuzi kuliko wewe?
Unaweza kuchukua tahadhali kuliko wamalekani au watu wa ulaya?
Mbona badi wanakufa na majopo yote ya kujkinga?

Shukuru umepona kufa kupitia hao wenye matunguli amabao sala zao zimekubeba na wewe upo bado unaishi.
 
Kweli Bwana Mama Rais wetu atoe tamko kuhusu korona ile tume yake ya Corona haijatoa majibu? Je ndege za India zinatua hapa? Je wahindi wetu hawa wanaenda India?

Hata watalii toka India bado tunapokea.
 
Jinga sana wewe, unadhani una ujanja kuliko wahindi ambao pamoja na chanjo yao ya covid bado wanakufa sasa wewe kapuku unataka sayansi gani?
Unataka wakuwekee kisiki nyuma ndo ujue kuwa covid bado inauwa hata wale wenye ujuzi kuliko wewe?
Unaweza kuchukua tahadhali kuliko wamalekani au watu wa ulaya?
Mbona badi wanakufa na majopo yote ya kujkinga?

Shukuru umepona kufa kupitia hao wenye matunguli amabao sala zao zimekubeba na wewe upo bado unaishi.

Kwa mawazo kama yako ndiyo maana kunakuwapo na maoni kama haya hapa yanayoweza kufikiriwa kuwa ni kejeli:

IMG_20210503_120234_815.jpg

Kweli asiyejua maana, huwa haambiwi maana!
 
Mama Funga Ndege za India zisiingine nchini.

View attachment 1771951

Imekuwa kama siku za Nuhu. Waliambiwa, wakaonywa, wakatakwa radhi na vyote vya namna hiyo hadi yakawakuta!

Wacha ndege ziendelee kuja kutoka Mumbai. Mwenzetu mmoja aliyepuuzia hivi leo amekuwa almaarufu kama mwendazake.

Eeeh Mola wetu tuhurumie sisi tunaolazimishana kusafiri kwenye jahazi hili lililojaa ujinga wa asili.

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom