ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,379
Siku zote katika suala la Mapenzi huwa napenda sana kufuata ile sheria na kanuni ambayo ndio hubeba ule udhati wa mapenzi.
Daima huwa natembea katika njia salama, njia ambayo hunipa amani katika Moyo na Maisha Yangu.. Njia ambayo haiwezi kukuliza wala kukuumiza bali kukufanya uhisi raha na furaha ambayo kila siku utatamani uendelee kuishi.
Katika Masuala Ya Mahusiano Ya Kimapenzi njia ni Kumpenda Yule akupendae.
Kumpenda Yule anayeumizwa na Kulizwa na Matatizo yako..
Yule aliyetayari kufanya lolote kwa sababu ya kukupa raha na furaha.
Anayekupenda, kukujali, kukulinda na kukuthamini hakika Huyo ndio mtu sahihi wa kupendwa bila Kujali sura Umbile wala U madame supatu wake.
Mapenzi ni Hisia Zinazoumiza
kwahiyo usifurahie pale unapomliza Mwenzako hasa mwanamke. Linda na Heshimu Hisia Zake kwa kuwa wao ni kama Mama Zetu