Kamwe usioe mwanamke aliyekutoa juu ya mawe

Kamwe usioe mwanamke aliyekutoa juu ya mawe

Mwanamke aliyekusaidia kipindi cha shida ni wa kumng'ang'ania mpaka siku ya mwisho wa uhai wako. Alijua thamani yako ndiyo maana alikusaidia na hakuna kipindi kigumu sana katika maisha ya binadamu kama kipindi cha shida. Ukimdharau aliyekusaidia kipindi cha shida. Hata mbingu utaisikia
 
Sura sio moyo! Mapenzi ya dhati hayapo surani yapo moyoni shemeji yako mwenyewe sura yake kama kanyagio la ng'ombe ila ndo nimempenda sasa yuko moyoni, hivyo basi sura ya uyo Dada isitumike kumuhukumu mbaya nzuri zote zimeumbwa na Mungu
 
Sio wanawake wote wenye hela ni wa kuchezea na kuachwa...
 
basi ' usimtoe mwanaume kwenye mawe muache huko huko'
Siyo wote wanaoamini ujinga wa mtoa mada.
Mwanamke aliyekutoa kwenye shida,
1. Anakupenda kwa dhati
2. Muaminifu
3. Anaheshima sana sbb ana amini ww ndiyo chaguo lake la mwisho.
Siku zote ss wanaume huwa hatujiamin hasa ktk suala la kusaidiwa.
Kiukweli, mwanamke anayekusaidia mpende sana sbb hao wengine watakupenda baada ya kuwa na mali, na siku ukiishiwa watakukimbia.
 
Bebi wangu wa kimachame namshukuru kila siku kwani yeye alinionyesha ujanja wa kimaisha. Mafanikio yangu asilimia kubwa ni kwa ajili yake.Tumetengana muda satsa lakini nitakuwa mwizi wa fadhila nisipomshukuru. Always in mycket heart.
 
Bebi wangu wa kimachame namshukuru kila siku kwani yeye alinionyesha ujanja wa kimaisha. Mafanikio yangu asilimia kubwa ni kwa ajili yake.Tumetengana muda satsa lakini nitakuwa mwizi wa fadhila nisipomshukuru. Always in my heart.
 
Wacha tu.Mapenzi mara nyingine hayachuji. Be good stay good.
 
Tega sikio, yalinipata mimi mwenzenu, nilichofanya sasa.

Nilianza ukorofi, kama hamnazo vile, sieleweki eleweki, mara tugombane, mara vile tukaamua kila mtu aende kivyake, nikaishi kwa kuigiza shida, wakati miradi inaendelea vizuri. walivyo wajinga si kaona sawa sana, akaolewa na rijamaa ringine. ILI NIUMIE KUMBE HAJUI KUWA HAYUMO MOYONI MWANGU.
nikajua yeeeeees!


nami nikaoa, hapa nasema usikurupuke vuta subira.
 
Na kwann mtoto wa kiume mwenye mbavu zako kumi na mbili na meno 32 utegemee demu katika kukamilisha maisha yako?!

Hizi ni lawama za kujitafutia..... Unaweza kudhalilishwa bure kisa uliamua kuwa na hila na mtu.....

Mkaushie tu kwann uhangaike nae...
 
Back
Top Bottom