GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,861
๐ธ๐ช๐ป๐ช๐ช๐บ๐ท๐น๐บ๐ป๐ธ๐ง๐ค๐๐Zaburi ya 118: 1 Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele
๐ธ๐ช๐ป๐ช๐ช๐บ๐ท๐น๐บ๐ป๐ธ๐ง๐ค๐๐Zaburi ya 118: 1 Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele
We ni mchawi siyo bure. Iweje shetani amjue Mungu we usimjue.Hamna Mungu hapo wala nini, coincidence ya matukio tu hyo..
Ni kawaida ya wanadamu tukizidiwa tunatafuta kisingizio cha kujificha.
Kete ziko kwa maadui, usiwaache tu afu useme Mungu atatenda. Pambana mwenyewe ushinde. Mungu huyo hawezi kukusaidia in reality, wewe ulisaidiwa na aliekupigia simu.
Subiri upatwe na matatizo hutakumbushwa habari zakeHuyo Mungu mbona hajioneshagi, miaka 4000+
Anamtegemea mwanadamu badala ajitetee mwenyewe.
Mungu wenu mliyemtunga nyie siyo mwema.
Mmempa sifa za hovyo mpaka akapoteza mantiki.
Sasa km watu tulionao ni km wewe ndio mtachangia nini ktkt mkataba wa DP World? Mama piga kazi nchi yetu ni wajinga wengi sana bado.Biblia si kitu, ni kakitabu flani tu kaliandikwa na mjinga asiyejua hata jua linaenda wapi usiku.
Nioneshe kama kweli hiyo biblia inatuita wapumbavu..!
Hapana mimi si mchawi.We ni mchawi siyo bure. Iweje shetani amjue Mungu we usimjue.
Matatzo nnakutana nayo mengi sana,Subiri upatwe na matatizo hutakumbushwa habari zake
Wewe nkikuita unamawazo finyu sitokuwa nmekosea bali ntakuwa nmekupendelea tu.Sasa km watu tulionao ni km wewe ndio mtachangia nini ktkt mkataba wa DP World? Mama piga kazi nchi yetu ni wajinga wengi sana bado.
Hoja yako nmeikubali...Mkuu Smotor, Kwa Nini unatumia Nguvu nyingi kujaribu kutuaminisha kwamba hakuna Mungu ?
SI utuache TU na Ujinga Wetu wa Kuendelea Kuamini kwamba Kuna Mungu,
na Wewe Uendelee TU na Ujanja wako wa Kuendelea Kuamini kwamba HAKUNA Mungu ?
Tatizo liko Wapi ?
UnakufuruHamna Mungu hapo wala nini, coincidence ya matukio tu hyo..
Ni kawaida ya wanadamu tukizidiwa tunatafuta kisingizio cha kujificha.
Kete ziko kwa maadui, usiwaache tu afu useme Mungu atatenda. Pambana mwenyewe ushinde. Mungu huyo hawezi kukusaidia in reality, wewe ulisaidiwa na aliekupigia simu.
Amina!Zaburi 107:28
Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao.
Mungu ni mwaminifu na anajibu. Jina lake lihimidiwe.
Mkuu,Unakufuru
Mungu yupo na ndiye anawezesha kila jambo kufanyika
Hapana! Hapana kabisa kiongozi!!!Mkuu,
Kumbuka habari ya Mungu na kuweezesha kila jambo ni kitu ambacho unaamini tu, imani si kweli kwa 100%.
Hiyo ni mawazo yako tu.
Na nadharia ya mungu kuwezesha kila jambo ni imeandikwa kwenye vitabu vya dini kumrelate na maisha ya mwanadamu.
Lakini hizo tungo na mungu kiujumla, si halisi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We ni mchawi siyo bure. Iweje shetani amjue Mungu we usimjue.
Huwezi elewa maana psychology yako iko katika upande mmoja.Dah wewe unahitaji msaada sio kidogo, ulichokiandika hapo kina utofauti?
PoleHuwezi elewa maana psychology yako iko katika upande mmoja.
Hv nkisema Ahead amesema Mungu hayupo.
Hapo unamasnisha kuwa wote watakaosema Mungu hayupo waitwe kina Ahead, ama ni taarifa ambayo inamuelezea kauli ya mtu aitwaye Ahead aliyoisema muda mfupi uliopita?
Roho mtakatifu akufungue akili mkuu ili upate kuyaelewa maandiko hususani Biblia.Huwezi elewa maana psychology yako iko katika upande mmoja.
Hv nkisema Ahead amesema Mungu hayupo.
Hapo unamasnisha kuwa wote watakaosema Mungu hayupo waitwe kina Ahead, ama ni taarifa ambayo inamuelezea kauli ya mtu aitwaye Ahead aliyoisema muda mfupi uliopita?