Kamwe sitosahau wema huu aliyonifanyia Mungu

lulu za uru

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,743
Reaction score
3,450
Wakuu,

Kuna kipindi nilipita matatizo makubwa sana, kiufupi siendi kwa waganga ila nasali siyo ile deep sana, ila kila kitu changu namtizama Mungu, nikipata tatizo nasali.

Sasa bhana ikafikia kipindi matatizo yakanizidia, uji ukazidi unga. Ni Ile point huoni chochote, mbele ni giza mtindo mmoja. Adui zangu wakaanza kuzitingisha champagne wazifungue, aisee ndio nilikuwa naishia hivyo.

Weight imekata, sina hela, mapenzi nayo yakanichanganya, sina kazi, ni story ndefu sana ila sina kipaji cha Umughaka kuelezea Kwa kirefu. Eh, Huku na huku hali ikazidi kuwa mbaya, sali na kusali wapi, yaani adui wakawa wanafungua vinyaya vya champagne waifungue.

Jamani nilipita kwenye moto, nakumbuka kuna siku niliamka usiku nikalia sana mbele za Mungu juu ya matatizo yangu, vile ambavyo Mungu amewapa adui zangu ushindi, nililia lesso ikajaa kamasi na machozi siwezi elezea hali niliyokuwa nayo.

Nikamwambia Mzee Baba Mungu nahitaji mambo mawili tu; 1. Anichukue (yaani nife) au 2. Aniondolee matatizo, hii ni serious kabisa kwani nilikuwa nimezidiwa na matatizo.

Huwezi amini asubuhi nimeamka macho yamenivimba kwa kulia, sina mbele wala nyuma nikapigiwa simu moja tu n the rest is history.

Nilimwona Mungu aisee, jamani Mungu yuko! Adui wakabaki midomo wazi, wanaulizana imekuwaje? Nilivukaje? Kivipi? Kwanini? Mungu ni mwema, alinivusha. Bado nakula ugali, bado ananipa mitihani ila siyo ile iliyotaka kuniangusha.

Kwakweli mimi na nyumba yangu tutamtegemea yeye mpaka ukamilifu wa dahali, Mungu nakushukuru, siwezi kusahau ulivyonifuta Machozi yangu.

Asikiaye na afahamu siyo chai ni kwl tupu, kwa hivyo ukiona kuna la kujifunza chukua, kama ukidiss sawa tu.
 
Wakuu, Kuna kipindi nilipita matatizo makubwa sana ,kiufupi siendi Kwa Waganga ila nasali siyo Ile deeep saaaaana ila Kila kitu changu Namtizama Mungu ....nikipata tatizo nasali.....Sasa bhana ikafikia kipindi Matatizo yakanizidia uji ukazidi unga ,Ni Ile point huoni chochote mbele ni giza mtindo mmoja adui zangu wakaanza kuzitingisha champagne Wazifungue aseee ndio nilikuwa naishia hivyo...weight imekata,sina hela[emoji1]Mapenzi nayo yakanichanganya ...sina kazi [emoji16],Ni story ndefu sana ila Sina kipaji Cha Umughaka kuelezea Kwa kirefu[emoji185].... Ehhh Huku na Huku Hali ikazidi kuwa mbaya.....sali na kusali wapi[emoji16][emoji16][emoji16] yaani adui wakawa wanafungua vinyaya vya champagne waifungue....jamani nilipita kwenye moto....nakumbuka Kuna siku niliamka usiku nikalia sana mbele za Mungu juu ya matatizo yangu,vile ambavyo Mungu amewapa adui zangu ushindi ,nililia lesso ikajaa kamasi na machozi siwezi elezea Hali niliyokuwa nayo nikamwambia Mzee Baba Mungu nahitaji mambo mawili tu.... 1.Anichukue,(yaani nife) 2. Aniondolee Matatizo hii ni serious kabisa kwani nilikuwa nimezidiwa na matatizo.......huwezi amini asbh nimeamka Macho yamenivimba Kwa kulia Sina mbele Wala nyuma nikapigiwa simu Moja [emoji1]Moja tu n the rest is history.... [emoji95][emoji95][emoji95].Nilimwona Mungu aseee jamani Mungu yuko!....Adui wakabaki midomo wazi wanaulizana imekuwaje? Nilivukaje? Kivipi?kwnn.....Mungu ni mwema alinivusha Bado nakula ugali... Bado ananipa mitihani ila siyo Ile ilotaka kuniangusha kwakweli Mimi na nyumba Yangu tutamtegemea yeye mpaka ukamilifu wa dahali Mungu nakushukuru [emoji120]siwezi kusahau ulivyonifuta Machozi yangu......asikiaye na afahamu siyo chai ni kwl tupu. ..kwahivo ukiona Kuna la kujifunza chukua....kama ukidiss sawa tu[emoji13].
Hamna Mungu hapo wala nini, coincidence ya matukio tu hyo..

Ni kawaida ya wanadamu tukizidiwa tunatafuta kisingizio cha kujificha.

Kete ziko kwa maadui, usiwaache tu afu useme Mungu atatenda. Pambana mwenyewe ushinde. Mungu huyo hawezi kukusaidia in reality, wewe ulisaidiwa na aliekupigia simu.
 
ahhh kawaida sana.amekufanyia nini haujaeleza.Tukieleza visa vyetu Mungu alivyo tenda hawez tena kuleta uzi wako kama huo
 
Hamna Mungu hapo wala nini, coincidence ya matukio tu hyo..

Ni kawaida ya wanadamu tukizidiwa tunatafuta kisingizio cha kujificha.

Kete ziko kwa maadui, usiwaache tu afu useme Mungu atatenda. Pambana mwenyewe ushinde. Mungu huyo hawezi kukusaidia in reality, wewe ulisaidiwa na aliekupigia simu.
Hukusoma ukanielewa Mkuu hustle nilizopitia na vita nilivyopigana nikikuhadithia utashangaa sikuwa nimetulia nilipambana mpaka tone la mwisho...[emoji1]ni Ile unaangalia movie sterling kapigwa akachomwa na mkuki....halafu akaanguka chini...anatema damu Na yeye hakubali anainuka na mkuki ukiwa umechomwa kifuani anarusha Panga Moja Kwa adui[emoji16][emoji16][emoji16]Huyo ni Mimi na ndivyo nilivyopambana Kuna siku mama yangu alinihurumia akanambia mwansngu una moyo wa paka nikikumbuka nachrka sana[emoji1][emoji13][emoji16]...kwahivo msaada niliopata haikuwa coincidence alikuwa Mungu kabisa hata na hivyo sikulazimishi kuamini Mkuu.....naheshimu mawazo Yako....Mungu yupo jamani.
 
Wakuu,

Kuna kipindi nilipita matatizo makubwa sana, kiufupi siendi kwa waganga ila nasali siyo ile deep sana, ila kila kitu changu namtizama Mungu, nikipata tatizo nasali.

Sasa bhana ikafikia kipindi matatizo yakanizidia, uji ukazidi unga. Ni Ile point huoni chochote, mbele ni giza mtindo mmoja. Adui zangu wakaanza kuzitingisha champagne wazifungue, aisee ndio nilikuwa naishia hivyo.

Weight imekata, sina hela, mapenzi nayo yakanichanganya, sina kazi, ni story ndefu sana ila sina kipaji cha Umughaka kuelezea Kwa kirefu. Eh, Huku na huku hali ikazidi kuwa mbaya, sali na kusali wapi, yaani adui wakawa wanafungua vinyaya vya champagne waifungue.

Jamani nilipita kwenye moto, nakumbuka kuna siku niliamka usiku nikalia sana mbele za Mungu juu ya matatizo yangu, vile ambavyo Mungu amewapa adui zangu ushindi, nililia lesso ikajaa kamasi na machozi siwezi elezea hali niliyokuwa nayo.

Nikamwambia Mzee Baba Mungu nahitaji mambo mawili tu; 1. Anichukue (yaani nife) au 2. Aniondolee matatizo, hii ni serious kabisa kwani nilikuwa nimezidiwa na matatizo.

Huwezi amini asubuhi nimeamka macho yamenivimba kwa kulia, sina mbele wala nyuma nikapigiwa simu moja tu n the rest is history.

Nilimwona Mungu aisee, jamani Mungu yuko! Adui wakabaki midomo wazi, wanaulizana imekuwaje? Nilivukaje? Kivipi? Kwanini? Mungu ni mwema, alinivusha. Bado nakula ugali, bado ananipa mitihani ila siyo ile iliyotaka kuniangusha.

Kwakweli mimi na nyumba yangu tutamtegemea yeye mpaka ukamilifu wa dahali, Mungu nakushukuru, siwezi kusahau ulivyonifuta Machozi yangu.

Asikiaye na afahamu siyo chai ni kwl tupu, kwa hivyo ukiona kuna la kujifunza chukua, kama ukidiss sawa tu.
Alafu Mungu ana waja wake akitaka kuwafanikishia jambo anasubiri ufeli kabisa akupime ila ukizidisha maombi na ukimlilia anakufanikishia kwa wakati sahihi. Ingawa utaona limechelewa
 
kuna wimbo unaanza.....Bwana, nimerudi tena,
Yesu kukushukuru,
Wengine sijui ila mimi bwana, ninajua umenitendea 🎵🎶

Kautafute usindikize ushuhuda wako. Usijali wale 9 wengine walioponywa pamoja na wewe wako wapi. Mungu ni mkuu sana
 
Hukusoma ukanielewa Mkuu hustle nilizopitia na vita nilivyopigana nikikuhadithia utashangaa sikuwa nimetulia nilipambana mpaka tone la mwisho...[emoji1]ni Ile unaangalia movie sterling kapigwa akachomwa na mkuki....halafu akaanguka chini...anatema damu Na yeye hakubali anainuka na mkuki ukiwa umechomwa kifuani anarusha Panga Moja Kwa adui[emoji16][emoji16][emoji16]Huyo ni Mimi na ndivyo nilivyopambana Kuna siku mama yangu alinihurumia akanambia mwansngu una moyo wa paka nikikumbuka nachrka sana[emoji1][emoji13][emoji16]...kwahivo msaada niliopata haikuwa coincidence alikuwa Mungu kabisa hata na hivyo sikulazimishi kuamini Mkuu.....naheshimu mawazo Yako....Mungu yupo jamani.
Hongera kwa kupambana mkuu,

Hoja yangu ni kuwa uwezo wako kuwin kwenye hustle zako, hazijasabavishwa na Mungu.
Niwewe ndiye umeshinda wala mungu hahusiki hapo.
Kwamaana tunajua (hatuamini) Huyo Mungu hayupo
 
Back
Top Bottom