Kamugisha Kazaura is a new TTCL CEO

Kamugisha Kazaura is a new TTCL CEO

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
772
Kwa mujibu wa chanzo changu pale TTCL bodi ya wakurugenzi imemteua bwana Kamugisha Kazaura kuwaCEO wa kampuni hiyo..kabla ya hapo alikua CTO wa kampuni hiyo.............kwa wale mnaomfahamu yeye na TTCL mnauzungumziaje uteuzi huo na kama ataweza kupambana na ushindani uliopo kwa maana ya kurudisha hadhi ya shirika hili iliyopotea kiasi cha kufanya uteuzi huu kuonekana kama propaganda..........!!
 
mpeni muda jamani hata mimba aiingii sikumoja kuna kula vyakula vya vitamini mazoezi
kahh ajaanza hata kula 10% mnataka matokeo loh
 
Inafurahisha kuona "vijana" wanapewa uongozi na hata kuwa groomed.

The guy was very social, of "good stock" and positioned to make some real changes if he could stand the heat, use his network effectively and do his homework.
 
Niliambiwa kuhusu kuandsaliwa kwa huyu mtu miaka miwili iliyopita, moja ya watu waliokuwa wanapush ni baba yake. Hongera zake na tunamtakia kila la kheri katika kupambana na changamoto hizo za biashara ya simu
 
.................Nadhani huyo anashikiria kwa muda baada ya management yote kusimamishwa, uteuzi anafanya raisi, bodi imepatia kukaimu tu hiyo nafasi.............

Kwa mujibu wa chanzo changu pale TTCL bodi ya wakurugenzi imemteua bwana Kamugisha Kazaura kuwaCEO wa kampuni hiyo..kabla ya hapo alikua CTO wa kampuni hiyo.............kwa wale mnaomfahamu yeye na TTCL mnauzungumziaje uteuzi huo na kama ataweza kupambana na ushindani uliopo kwa maana ya kurudisha hadhi ya shirika hili iliyopotea kiasi cha kufanya uteuzi huu kuonekana kama propaganda..........!!
 
Kwa CEO wa TTCL, bodi haina mamlaka ya kumteua, anakaimu baada ya walikuwepo kusimamishwa.......

Niliambiwa kuhusu kuandsaliwa kwa huyu mtu miaka miwili iliyopita, moja ya watu waliokuwa wanapush ni baba yake. Hongera zake na tunamtakia kila la kheri katika kupambana na changamoto hizo za biashara ya simu
 
kazaura.jpg

Kamugisha Kazaura received the B.Eng. degree in Electronics and Communications Engineering from the University of Bath, UK, in 1995. He then worked as a telecoms engineer for the Tanzania Telecommunications Company Ltd. (TTCL), Dar Es Salaam, Tanzania, from 1996 to 2002. He later joined Waseda University's Graduate School of Global Information and Telecommunication Studies, Tokyo, Japan, where he received his M.Sc and PhD degrees in 2002 and 2007 respectively. He is now a full-time Visiting Lecturer at Waseda University's Advanced Research Institute for Science and Engineering (RISE). His research interests lie within the general fields of technologies for fixed and mobile high-speed wireless communication networks, free-space optical (FSO) communication systems and innovative access technologies for next generation networks. His current work involves research and development of an advanced DWDM Radio on Free-Space Optical Communication system suitable for transmission of multiple RF signals.
 
Kwa mujibu wa chanzo changu pale TTCL bodi ya wakurugenzi imemteua bwana Kamugisha Kazaura kuwaCEO wa kampuni hiyo..kabla ya hapo alikua CTO wa kampuni hiyo.............kwa wale mnaomfahamu yeye na TTCL mnauzungumziaje uteuzi huo na kama ataweza kupambana na ushindani uliopo kwa maana ya kurudisha hadhi ya shirika hili iliyopotea kiasi cha kufanya uteuzi huu kuonekana kama propaganda..........!!

Tupeni cv yake twaweza tuka jua utendaji wake wa kazi.
 
kazaura.jpg

Kamugisha Kazaura received the B.Eng. degree in Electronics and Communications Engineering from the University of Bath, UK, in 1995. He then worked as a telecoms engineer for the Tanzania Telecommunications Company Ltd. (TTCL), Dar Es Salaam, Tanzania, from 1996 to 2002. He later joined Waseda University’s Graduate School of Global Information and Telecommunication Studies, Tokyo, Japan, where he received his M.Sc and PhD degrees in 2002 and 2007 respectively. He is now a full-time Visiting Lecturer at Waseda University’s Advanced Research Institute for Science and Engineering (RISE). His research interests lie within the general fields of technologies for fixed and mobile high-speed wireless communication networks, free-space optical (FSO) communication systems and innovative access technologies for next generation networks. His current work involves research and development of an advanced DWDM Radio on Free-Space Optical Communication system suitable for transmission of multiple RF signals.

Hongera Dr Kazaura! Nakutakia kila la kheri katika juhudi za kulifufua shirika hili nyeti na muhimu katika Taifa letu.
 
Kwa CEO wa TTCL, bodi haina mamlaka ya kumteua, anakaimu baada ya walikuwepo kusimamishwa.......
aliteuliwa kukaimu kama week 3 zilizopita lakini sasa amethibitishwa rasmi sio tena kukaimu
 
Hongera sana Dk.Kazaura,Changamoto ni nyingi mno;Tengeneza kikosi kazi cha kuinusuru TTCL,Saidi amiri alitaka kuiua TTCL.Kaondoka bila kuaga na kashfa kibao.Hongera sana Kamugisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom