Hebu tuchukulie kwamba, umegundulika kuwa una maradhi ya zinaa. Inaweza kuwa kaswende, kisonono, pangusa au hata ukimwi. Halafu tuchukulie kwamba una mchumba, mpenzi, mke ama mume. Halafu una uhakika hujawahi kutoka nje. Je utafanya nini?

Kwenda Hospitali kupata tiba ya haraka ni sahihi zaidi, maana kuanza kuulizana nani kaleta ni kupoteza muda ambao kimsingi ungefaa kutumika kwa matibabu!!!
Mbona hii simple. Yalimkuta jamaa kaambukizwa gono nje huko, kaleta kwa mkewe. Mke hakuonyesha dalili japo alikuwa na maambukizo, na kila mume akijitibu, akirudi kwa mkewe anapata tena. Ngoma ilikuwa atamwambiaje mkewe kuwa wana gonjwa la zinaa?
Ndiyo mwisho wa uchumba/ndoa maana ni ushahidi tosha kuwa, hivyo kuendelea kuishi nae ni kujitafutia ugonjwa wa moyo labda kama huo ugonjwa unaweza kupata bila kujamiiana....