Hapa ndio pagumu yaani upate kaswende just from nowhereHebu tuchukulie kwamba, umegundulika kuwa una maradhi ya zinaa. Inaweza kuwa kaswende, kisonono, pangusa au hata ukimwi. Halafu tuchukulie kwamba una mchumba, mpenzi, mke ama mume. Halafu una uhakika hujawahi kutoka nje. Je utafanya nini?
tatua sasa!!!!!!!!!!!!!!!Maswali mengi utata mtupu
Hebu tuchukulie kwamba, umegundulika kuwa una maradhi ya zinaa. Inaweza kuwa kaswende, kisonono, pangusa au hata ukimwi. Halafu tuchukulie kwamba una mchumba, mpenzi, mke ama mume. Halafu una uhakika hujawahi kutoka nje. Je utafanya nini?