Mkuu kampuni zipo nyingi ila wana masharti sana sijui kama mtawezana, maana wao hayo mahindi wanaupgrade yawe mbegu, sasa wao wanataka wakusimae kupanda n.n
Kwanini usipeleke mwenyewe Nchi ya jirani yako, mbona Nchi ya Kenya walishafungua biashara hiyo, nenda mwenyewe mpakani
ukishindwa wauzie Bodi ya Nafaka Arusha, Dodoma, Iringa nk