Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,429
Sawa mkuu.Ngoja waje
Ni zahanati/ dispensary yenye vifaa na mifumo ya kisasa.Mkuu Ni Zahanati au Ni DDC
Ninachowapendea hamuweki uongoWakuu,
kama kuna mtu ambaye yuko interested kuwekeza kwenye sekta ya Afya Dar es salaam, na ana uzoefu kwenye eneo hilo; Kampuni, zahanati na vifaa complete vinauzwa jumla M. 122.
Mahali; Dar
Thamani ya vifaa; zaidi ya 80 M
Hali ya Biashara: inafanya kazi vizuri na inahudumia wastani wa watu 15-25 kwa siku. Ina miezi 6 toka ianze kukanya kazi kikamilifu.
Haina deni lolote, tra na brela cleared. Pia wafanyakazi 7 wote wanalipwa kwa wakati.
Bima mbili ziko hatua za mwisho kabisa.
Sababu za kuuza, wamiliki wamehamishwa kikazi na wanafanya kazi zinazowaweka busy hivyo usimamizi unakuwa mgumu.
Kahiyo kampuni iko vizuri, inaenda vizuri inaboreshwa kila siku. Changamoto muda.
Kama uko interested karibu PM kwa maelezo zaidi
Nilidhani ni Digital diagnostic centre (DDC) IKO VYEMA NGOJA NIWASHTUE WADAUNi zahanati/ dispensary yenye vifaa na mifumo ya kisasa.
Mkuu umeona ilivyo safi ukadhani iko ndani ya ndege hahaahaha.Nilidhani ni Digital diagnostic centre (DDC) IKO VYEMA NGOJA NIWASHTUE WADAU
Hapana DDC ni kama Sehemu ya kupima Na ushauri wa dawa tu inafanana na Zahanagi ila usajili unakuwa ni DdCMkuu umeona ilivyo safi ukadhani iko ndani ya ndege hahaahaha.
Sawa mkuu shukuran
Njia ya kutoka segerea kwendaLocation Ni wapi mkuu?