Mkuu wewe unaona 200k ni ndogo unaweza kumzaliushia huyo mchina zaidi ya 200k ili akulipe unavotaka au unataka ulipwe kwa kazi hujafanya.Kama we ni mfanya kazi utaangalia hio 1% the utasema nikiuza milioni 100 comission yangu ni milioni 1 then utajua kwamba hujui.Kwema job seekers wenzangu?
Kuna mchina kani-check somewhere, kaniambia nimtumie CV yangu kuna kazi za sales zinahitaji watu, nimemtumia cv yangu fresh,In return akanitumia job description ya kazi husika ndio nikaona huo mshahara anaotaka kunilipa.
Ofcoz nina uhitaji wa kazi ila nimemjibu thank you endelea na zoezi la kutafuta mtu mwingine, me siko tayari kwa huo mshahara.
Kuna maswali nimejiuliza, haya makampuni ya wachina huwa hayana HR department wakawashauri vizuri namna ya kurecruit watu na issue nzima ya compensation mpaka General Manager mwenyewe anaingia front kuokoteza wafanyakazi, na hiyo mishahara yao wanayotoa kama sio kutafuta kuibiwa ni nini?
Eti mshahara laki 2, serious?
View attachment 2020723
Sio wajinga swali ni je unaweza kumpa value ya kuingiza TZS 100,000,000 kwa mwezi ili aweza kukulipa 1 M?Jibu ni hapana.So unataka yeye atoe wapi pesa ya kukulipa?THINK kama unafikiri unaweza kuwalipa watu ambao hawazalishi basi anzisha kampuni yako au baki huko uliko.Kuna siku mchina kanicheki kasema tunatafuta HR ila tutakulipa 23K per day
Nikamuuliza iyo ni meal au salary?
Akanijibu kuwa ni salary nikamuuliza ivi umeangalia wapi nafanya kazi na experience yangu
kalala mbele
hawa jamaa wajinga sana aiseee
Hakuna kampuni ya mambo ya ujenzi.Yani mchina kolo kweli eti 1% ina maana ukiuza mzigo wa million 1 anakupa elfu 10? [emoji28][emoji28][emoji28]
Hapo umenena,Negotiations skills zako ziko Chini saana,
Anapokuambia willing salary ni 200,000 wewe ungepmba 300,000 na very possible angekupa
Then hapo kwenye 1% ungepmba 2% yeye angekupa 1.25% plus
Lastly ungeomba transport na meal allowance, si ajabu angekupa 2000-4000 per day.
Kwa kifupi hii kazi ulitakiwa uanze na salary ya laki 6, sema wewe umezembea kunegotiate.
Mkuu hizo kazi zinapatikana wapi?Kwema job seekers wenzangu?
Kuna mchina kani-check somewhere, kaniambia nimtumie CV yangu kuna kazi za sales zinahitaji watu, nimemtumia cv yangu fresh,In return akanitumia job description ya kazi husika ndio nikaona huo mshahara anaotaka kunilipa.
Ofcoz nina uhitaji wa kazi ila nimemjibu thank you endelea na zoezi la kutafuta mtu mwingine, me siko tayari kwa huo mshahara.
Kuna maswali nimejiuliza, haya makampuni ya wachina huwa hayana HR department wakawashauri vizuri namna ya kurecruit watu na issue nzima ya compensation mpaka General Manager mwenyewe anaingia front kuokoteza wafanyakazi, na hiyo mishahara yao wanayotoa kama sio kutafuta kuibiwa ni nini?
Eti mshahara laki 2, serious?
View attachment 2020723
Tuna vijana wa hovyo Sana,Hustler Mentality..
Mkuu hapo ungepambana hio % ya Sales iongezeke walau ifike 5%+++ then nenda kapige kazi..
Ajira zote za kampuni za biashara ni lazima ulipwe hela ambayo umeingiza mkuu,, siku ukiwa na kampuni yako utaelewa hili..
Halafu kama ni Jobless na umeacha hio kazi basi utakuwa unaishi kwa Wazazi... Kuna mengi ungepata huko kuliko kuendelea kukaa home.. hii sentensi ni valid Only if ni Jobless na upo kwa Shemeji
Tuna vijana wa hovyo Sana,
Kijana hawazi ataizalishia kampuni kiasi gani, anawaza yeye atalipwa kiasi gani.
Anataka atajiwe kiasi ambacho at hakashiriki kukizalisha
Kweli kabisa,Watanzania huwa nashindwana nao hapo tu.
Watu wako obsessed na Mishahara kuliko hata uwezo wao kiutendaji.... Kama huyo mleta uzi.. kazi ya sales anataka alipwe hela kubwa bila kujua kama hata hio kazi ataiweza au Laah...
Kijana unapopata kazi sehemu,, nenda kafanye kazi,, pambana at your potential...hakuna boss atakuona potential halafu akuache uende...Room ya negotiation huwa nzuri pale ambapo nawewe umeonyesha nini unacho...
Madeni kuzidi malipo ni mwiko - FidQ
Kweli kabisa,
Vijana wengi wanafeli hapo TU....
Acha tu mkuu umenikumbusha kitu hapaπππππ wakati mkataba wangu unaelekea ukingoni katika kibarua fualani nilichokua nacho, niliona ni vema kusaka kazi nyingine mapema kabla ya siku kuisha hivyo niliwashirikisha jamaa zangu kadhaa in my network.Kwema job seekers wenzangu?
Kuna mchina kani-check somewhere, kaniambia nimtumie CV yangu kuna kazi za sales zinahitaji watu, nimemtumia cv yangu fresh,In return akanitumia job description ya kazi husika ndio nikaona huo mshahara anaotaka kunilipa.
Ofcoz nina uhitaji wa kazi ila nimemjibu thank you endelea na zoezi la kutafuta mtu mwingine, me siko tayari kwa huo mshahara.
Kuna maswali nimejiuliza, haya makampuni ya wachina huwa hayana HR department wakawashauri vizuri namna ya kurecruit watu na issue nzima ya compensation mpaka General Manager mwenyewe anaingia front kuokoteza wafanyakazi, na hiyo mishahara yao wanayotoa kama sio kutafuta kuibiwa ni nini?
Eti mshahara laki 2, serious?
View attachment 2020723
Natumaini hujawahi kukaa mezani na wachina kubargain mshahara. Mimi nilivutana nao karibu wiki, wanataka huduma yangu lakini shida ni malipo. Nikatemana nao wakawachukua madogoNegotiations skills zako ziko Chini saana,
Anapokuambia willing salary ni 200,000 wewe ungepmba 300,000 na very possible angekupa
Then hapo kwenye 1% ungepmba 2% yeye angekupa 1.25% plus
Lastly ungeomba transport na meal allowance, si ajabu angekupa 2000-4000 per day.
Kwa kifupi hii kazi ulitakiwa uanze na salary ya laki 6, sema wewe umezembea kunegotiate.
mimi kiboko hunichapi aisee ni bora unifukuze kazi, huo ni unyanyasaji ndani ya nchi yangu. [emoji16][emoji16]Wachina hawanaga diplomacy,ni wabaguzi mno.Sera yao ni take it or leave it,na ukitaka negotiation wanakufukuza hapo hapo at the middle of the interview.Ni aina ya waajiri wanaochapa staff wao viboko wakikosea mpaka leo [emoji1787] [emoji1787]
Kwanza kiingereza hawajui.Natumaini hujawahi kukaa mezani na wachina kubargain mshahara. Mimi nilivutana nao karibu wiki, wanataka huduma yangu lakini shida ni malipo. Nikatemana nao wakawachukua madogo
Mchina keshamaliza hapo njuga. Hanaga mambo mengi Laoban. They are so deceitfulMbona kama kinacholipwa hapo ni posho tu na sio mshahara?
Mwambie akupe figure ya salary na si allowance.