Kampuni za simu zapandisha gharama maradufu

Kampuni za simu zapandisha gharama maradufu

Yule kingunge wa TRA aliyesema kama kuna mwenye ushahidi kuwa taasisi za kifedha zinaovercharge ajitokeze sijui kama anayaona haya au naye amevaa wooded specs
inawezekan yeye hatumii mpesa au yeye huenda hajapandishiwa gharama....nchi hii ina MATUTUSA wengi sana.
 
huu ni wizi kwa wanyonge.na sio ukusanyajo kodi.

kila kona kodi na inamlanga mtu huyu wa chini.
itafikia siku mtu akilala na mke wake analipia kodi kwanza....hii nchi ni ya kipuuzi sijapata kuona. na wakati tumaumia hivi, kuna wapuuzi wengine wanacheza 'kidari poo'!

upload_2016-8-10_23-31-38.png
upload_2016-8-10_23-32-32.png
 
Kelele za chura,,,,,,, mlishazoea kupata ela ya magumashi sasa mtaisoma namba,,in magufuli's voice
 
Hivi hawa matutusa wa CCM wataendelea kututesa mpaka lini?
 
Machungu ya kodi siku zote MTU wa mwisho ndo uumia huwezimpandishia kodi mzalishaji mtumiaji akabaki salama
 
Magufuli ataua watu aisee, maisha yatazidi kuwa magumu, umasikini utaongezeka
 
Nidhamu ya pesa inarudi
Watu wa nchii hii ni masikini, hawajawahi kikosa nidhamu ya pesa. Hakuna starehe ya maana wamewahi kufanya kama ilivyo nchi tajiri, hatuendi kutalii kwenye hifadhi, hatufanyi utalii wa nje ya nchi, tunaagiza second hand cars, walio wengi mlo wao ugali mboga za majani, walio wengi wanajenga nyumba kwa miaka 7,nk

Sasa mjingaa mmoja unaposema nidhamu ya pesa itarudi unamaanisha nini?
 
Tatizo tunaongea sana badala ya nini kifanyike
 
Kifurushi cha Tigo cha Internet ambacho awali kilikuwa kilikuwa kinauzwa sh 5,000 kwa wiki 800MB sasa hakipo, kuna chs sh 8,000 cha 2 GB, ukienda kwenye application unakuta kifurushi kipya cha sh 8,000 tu.
 
Kifurushi cha Tigo cha Internet ambacho awali kilikuwa kilikuwa kinauzwa sh 5,000 kwa wiki 800MB sasa hakipo, kuna chs sh 8,000 cha 2 GB, ukienda kwenye application unakuta kifurushi kipya cha sh 8,000 tu.
Hata Voda nao wamefuta kifurushi cha wiki cha 2000...wanaenda sambamba na tiGO ili tukose pa kukimbilia. Nchi hii aliyeiroga kafa.
 
Back
Top Bottom