Nadhani kitakachofuata ni kodi kwa karo za shule binafsi.Simu garama,nyumba za kupanga kodi,sasa kinafata nini?
Guest na lodgeNadhani kitakachofuata ni kodi kwa karo za shule binafsi.
acha tuisome namba ***** ccm tumeipenda wenyewe
Jamaa wamepandisha sana tarrif za miamala ya kutoa pesa. Jana kalaki kamoja nimemuuliza wakala, tukasoma chati imeandikwa kutoa laki Tsh 2750 badala ya 2500,lakini nilivyotoa wamekata 3500 kwa laki 1,yaani inauma sana
na bado....ifikapo 2020 tutakuwa tumenyooka.Jamaa wamepandisha sana tarrif za miamala ya kutoa pesa. Jana kalaki kamoja nimemuuliza wakala, tukasoma chati imeandikwa kutoa laki Tsh 2750 badala ya 2500,lakini nilivyotoa wamekata 3500 kwa laki 1,yaani inauma sana
IKIENDA SAMBAMBA NA HAPA KASI TUHAPA KAZI TU!