kampuni za simu TZ

munishi

Member
Jan 28, 2011
16
3
Jaman wana jamii haya makampuni ya simu hapa Tz wanaajiri vipi? maana kila wanaongeza ofisi ila sioni wanatangaza ajira
 
Wewe peleka CV yako iache/isahau hapo. Utaingizwa kwenye Data Base, nafasi ikitokea kama una bahati zako utaitwa.
Mambo ya kutangazatangaza nayo ni Gharama.
 
Mbona huwa wanatangaza mkuu ni kwamba ni lazima uwe karibu na information utapata au la wanatumia job agent.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom