saidi kalindura
Member
- Jan 26, 2015
- 41
- 13
JamiiForums njooni huku muone.Jamani hapa hamna kazi hao ndo wale wale matapeli tu kama kuna mtu anabisha piga hiyo Namba utaishia kuambiwa toa alf tano ya form hapo ndo utakaposhangaa. Mi ndo kila siku nasema hawa matapeli ya kazi wataisha lini.? Serikali inajitahidi sana kuwakamata lakini wanazaliwa wengine. Hii taarifa pia serikali fatilia hii kampuni uchwara hawa pia matapeli..
Niunganishe mm naitaka seem ganKampuni za Usafi mshahara 100,000-180,000 kwa mwezi, tafakari kama uko hadhi iyo
Habar za muda huu waungwana!
Leo sijaja na maneno mengi,machache tu yenye faida.
kuna kampuni ya usafi wa hotelini na maofisini inaitwa five BM inatoa ajira kwa kijana yeyote mwenye elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea.
muhimu ujue kufanya usafi,bidii ya kazi,nidhamu na kujituma.
kuwapata wahusika piga namba
0719384693
au fika manyanya nyuma ya msikiti wa mvumoni au tembelea fb page five BM..
shukrani
JIBU ZURI MAANA WENYE DHARAU WENGIkwani ukifika Chuo kikuu huwezi choma maindi stendi
Jibu zuri maana we ye dharau wengi
elimu si kwaajili ya kuondoa umaskini Bali ni kwaajili ya kuondoa ujinga
Alafu nyie ni matapel kwel nilimpa mdada mmoja hiyo no hapo juu anahitaji kazi alafu mkamjibu shit Mara mumkatie cm cjui MNA mana gan
Mkuu bado kodi anapokaaHuezi kumtumikisha mtoto wa mtu kwa 150000 mwezi mzima, yaani 5000 kwa siku. Nauli tupige tu 800 chakula na maji 2500 cha mchana hiko. Muone vile
JIBU ZURI MAANA WENYE DHARAU WENGI
JIBU ZURI MAANA WENYE DHARAU WENGI