Kampuni ya Total mjiangalie sana kuhusu uchakachuaji wa oil yenu

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,597
2,000
Ninapenda kuifahamisha Kampuni ya Total kuwa kwa siku za karibuni wajanja wachache wameanza kuchakachua oil yao na hivyo kuwafanya wateja kuacha kununua oil ya Kampuni yao.

Kwa ujumla oil ya Kampuni ya Total ndiyo inayoongoza kwa ubora lakini sasa watu wanaanza kuogopa kununua oil kwa sababu inachakachuliwa na wajanja. Fuatilieni na mchukue hatua. Mimi binafsi nimeacha kununua oil ya Kampuni yenu.
 

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,286
2,000
Ninapenda kuifahamisha Kampuni ya Total kuwa kwa siku za karibuni wajanja wachache wameanza kuchakachua oil yao na hivyo kuwafanya wateja kuacha kununua oil ya Kampuni yao. Kwa ujumla oil ya Kampuni ya Total ndiyo inayoongoza kwa ubora lakini sasa watu wanaanza kuogopa kununua oil kwa sababu inachakachuliwa na wajanja. Fuatilieni na mchukue hatua. Mimi binafsi nimeacha kununua oil ya Kampuni yenu.
Mkuu, ebu tuelezee kidogo kuhusu huo uchakachuaji. Maana kuitaja kampuni kubwa kama Total pasipo kuweka maelezo ya kutosheleza ili wapate pa kuanzia kufany ufuatiliaji ni kuwaharibia biashara.
Na je, inachachuliwa Hydraulic oil ama Engine oil..??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom