- Thread starter
- #21
Mkuu hii ni marketing au? mbona sioni pa ku vote?
Check link hiyo fresh na inabidi utumie facebook account
Mkuu hii ni marketing au? mbona sioni pa ku vote?
Ukiisha ipata weka mouse juu ya kampuni itatokea option ya kuvote
Habari Wadau.
Kampuni ya Kitanzania ya Rasello imefanya maajabu kwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwania taji la Kampuni bora inayochipukia yaani StartUp.
Ewe Mtanzania mwenzangu onyesha uzalendo kwa kuipigia kura kupitia
hapa http://webitcongress.com/en/webit/20...pvote.html/264. Kampuni ni ya Kitanzania na ofisi zake zipo pale Msasani.
Regards.
- Mkuu kura yangu tayari
Dah!! Nimechemka kuipigia kura.. Nahitaji maelezo ya ziada hapa.. Maana hyo kampuni nimeiona but how to vote?
Habari Wadau.
Kampuni ya Kitanzania ya Rasello imefanya maajabu kwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwania taji la Kampuni bora inayochipukia yaani StartUp.
Ewe Mtanzania mwenzangu onyesha uzalendo kwa kuipigia kura kupitia hapa Rasello.
Kampuni ni ya Kitanzania na ina ofisi pale Msasani. Website ni http://www.rasello.com/
Regards.
Nime vote tayari,
Lakini siielewi hiyo kampuni inashughulika na nini!
Mmetanguliza kufahamika Marekani badala ya Tanzania?
..... Iwe fundisho kwa wenye tabia kama yenu....anyway nawaombea mshinde
Habari Wadau.
Kampuni ya Kitanzania ya Rasello imefanya maajabu kwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwania taji la Kampuni bora inayochipukia yaani StartUp.
Ewe Mtanzania mwenzangu onyesha uzalendo kwa kuipigia kura kupitia hapa http://webitcongress.com/en/webit/2013/startupvote.html/264.
Kampuni ni ya Kitanzania na ina ofisi pale Msasani. Website ni http://www.rasello.com/
Regards.
Mkuu siyo vibaya ukituambia kwa kifupi inahusu nini kwa wewe ulibahatika kupitia hizo taarifa!"SOMA KWA FAIDA YA WENGINE"wakuu tusiwe wavivu kihivyo mtu kaweka link ww bofya hiyo link ili ujue kilichopo ndani yake mm nimebofya mpaka video nimeangalia.