Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,611
- 10,171
Kampuni hii ya michezo ya bahati nasibu imepiga bingo kwa zaidi ya asilimia 60. Ikunbukwe kuwa south Kuna miamba wengine wa betting kama betway na hollywoodbet . Hata hivyo mapato hayo yanaashiria wabetiji kuumia. Pamoja na hayo mafanikio ya kampuni ua kubashiri huambatana na uwekezaji mzuri , hasa kwenye matangazo na huduma bora pamoja na bonasi. Huduma nzuri kwa wateja pamoja na urahisi wa mfumo, uharaka wa malipo , idara bora ya uajiri miongoni mwa mambo mengine. Kudus sunbet