The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 852
- 1,449
Hapo umeonyesha won ticket bro,hakuna upande wa pili ?Inalipa,Tsh 170 ungefanyia kitu gani?
Hapo umeonyesha won ticket bro,hakuna upande wa pili ?Inalipa,Tsh 170 ungefanyia kitu gani?
Karibu shambani.Hahaha vinalipa? Na je unafikiri watu wote nchini wanapaswa kuwa wakulima?
Shukrani,mimi niko Dar, kama ningekuwa iringa tungelima bruh. Kikubwa pesa ipatikane.Karibu shambani.
Upande wa pili upiHapo umeonyesha won ticket bro,hakuna upande wa pili ?