MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 19,366
- 40,153
Nawapongeza wote mlioshtukia huu utapeli.
Mida ya kubeti-Singeli ya Doggo Nigga.Sometime bora kubeti kuliko kuyashobokea haya makampuni hewa, yani kuna mdada mmoja alikuwa ananitumia audio na video clips za matangazo yao mpaka memory ikajaa
Haifai bora ufanye shughuli nyngnMwenzangu kujitafutia lawama tu.
Maana unaambiwa ili ulipwe mshahara mkubwa unatakiwa ushawishi watu wengi wajiunge.
Ukimshawishi ndugu mwisho mambo yenyewe ya kitapeli si lawama hizo?
Ss km roho inakataa si uache?!Jamani vp kuhusu forever product maana kuna mtu ananishawishi sana niingie lakin roho yangu inakataa..Naomba ushauri wadau
Huyu Bi Mkubwa alitaka kunipiga kama mil. 1, nikashituka nikatimua mbio...! Wananitafuta kwa simu mpaka leo

nasikia wapumbavu huwa hawafundishikikuna jamaa tuko naye group moja basi kila kukicha ilikua ni habari ya rifaro saizi ukimuuliza kimya sijui kwann watu hawajifunzi.
KWENYE MAGROUP YA WATSUP HIVI SASAkuna jamaa yangu alinishauri sana nijiunge na kampuni ya rifaro kipindi inaanza, leo nimemuuliza kafikia wapi ananiambia kampuni imekufa natumia fursa hii kumpa pole yeye na wale wote waliojiunga na hii deci pia kama angalizo ukiona kampuni yoyote ya network marketing ujue ni utapeli tu wanachogeuza ni bidhaa na mbinu ila rengo ni lilelile kuuza watu biashara ikiwa satured vizazi haviongezeki wanaingia mitini.

Administrator
:
TENGENEZA 1,920,000 KWA MTAJI WA SHILING ELFU 1 (Tsh 1,000).
PAYS4EVER INA MFUMO WA 4X3 MATRIX (YAANI UNAWASHIRIKISHA WATU WANNE NA UTAPANDA MPAKA DARAJA LA 3 AMBAPO KILA DARAJA UTAJITENGENEZEA FAIDA
utapanda daraja la 2 kwa kuchangia Tshs.3,000 hivyo utabakiwa na faida ya sh.1,000 daraja la kwanza!
panda daraja la 3 kwa kuchangia Tsh.30,000 hivo utabakiwa na faida ya Tshs.18,000 katika daraja la 2.
panda daraja la 5 kwa kuchangia Tsh.1,500,000 hivo utabakiwa na faida ya Tshs.2,180,000 katika daraja la 4.
Administrator
: Follow this link to join my WhatsApp group: WEKEZA KWA 1000Mpk wew unalalamika bei? Sawa mkuuKuna dada alinishawishi sana kuniunga forever, bei zake sasa dawa moja niliulizia inauzwa elfu 75,
Wanalipa kodilakini kwanini serikali inawapa vibali?