Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,691
- 46,930
Nawajua ndio, sasa hao utawafananisha na kina mange??Uko vyema kiakili unamjua Juliana Assange na Edward Snowden walichofanya?
Kua serious braza.
Nawajua ndio, sasa hao utawafananisha na kina mange??Uko vyema kiakili unamjua Juliana Assange na Edward Snowden walichofanya?
Ananyotaaaayaaaaaaaaaaaa mende kila sehemu anaingia bila hodihuyu kijana wa kumtumia sana. samia amshike mkono, kuna maeneo mengi tu samia hawezi kuingia ila huyu kijana anaingia. kuna marais wengi tu samia hawezi kuonana nao ila huyu kijana anaonana nao, kuna wafanyabiashara wakubwa mno na wenye uwekezaji mkubwa kijana anaonana na kunywa nao chai ila samia hawezi. ni Mtanzania, babake kazaliwa Tanga, mchungaji fernandes wa kanisa la Agape kule mbezi.
wengi wakimwangalia wanamwona kama mhindi, hapa nchini huyo ni generation ya 4 inavyosemekana, ni Mtanzania kuliko watanzania wengi sana, babu yake alikuja hapa hata kabla wangoni hawajaja hapa nchini n.k, na kote anakoenda amejitangaza Utanzania wake, serikali imshike mkono kwa kumtangaza zaidi kwasababu uwekezaji alioufanya utaitangaza Tanzania pia. haiwezekani vijana kama hawa wawe wao ndio wanajibembeleza kwenye Utanzania badala ya Tanzania kujibembeleza kwao. wamepambana kwa jasho lao, Mzee fernandes kajinyima pale haven of peace kamsomesha hadi akapata scholarship marekani, kasoma vizuri.
kwa wale tuliokuwa tunasali Agape pale mbezi, tunakumbuka alivyokaweka wakfu uchungaji kipindi fulani, na namna mzee fernandez alivyopigania hata injili ya Tanzania na kuanzisha tv za dini. Mungu ambariki. ana mkono wa Mungu na atafika mbali zaidi ya hapo hata kama serikali itakaa mbali naye. ana Mungu, ana kibali cha MUngu.
Pole sanaHapa tunajipendekeza tu, akina Mwajuma, Maganga, Mwakipesile, Massawe na Kokushubila ndiyo watanzania halisi
Wewe mwenye akili mbona hujafanya cha maana tukakiona?Acha ujinga na hayo madharau ndio maana hamna akili na maskini wa kutupa
Hakuna jipya....
Hivi makao makuu ya NALA yako wapi mkuuuhuyu kijana wa kumtumia sana. samia amshike mkono, kuna maeneo mengi tu samia hawezi kuingia ila huyu kijana anaingia. kuna marais wengi tu samia hawezi kuonana nao ila huyu kijana anaonana nao, kuna wafanyabiashara wakubwa mno na wenye uwekezaji mkubwa kijana anaonana na kunywa nao chai ila samia hawezi. ni Mtanzania, babake kazaliwa Tanga, mchungaji fernandes wa kanisa la Agape kule mbezi.
wengi wakimwangalia wanamwona kama mhindi, hapa nchini huyo ni generation ya 4 inavyosemekana, ni Mtanzania kuliko watanzania wengi sana, babu yake alikuja hapa hata kabla wangoni hawajaja hapa nchini n.k, na kote anakoenda amejitangaza Utanzania wake, serikali imshike mkono kwa kumtangaza zaidi kwasababu uwekezaji alioufanya utaitangaza Tanzania pia. haiwezekani vijana kama hawa wawe wao ndio wanajibembeleza kwenye Utanzania badala ya Tanzania kujibembeleza kwao. wamepambana kwa jasho lao, Mzee fernandes kajinyima pale haven of peace kamsomesha hadi akapata scholarship marekani, kasoma vizuri.
kwa wale tuliokuwa tunasali Agape pale mbezi, tunakumbuka alivyokaweka wakfu uchungaji kipindi fulani, na namna mzee fernandez alivyopigania hata injili ya Tanzania na kuanzisha tv za dini. Mungu ambariki. ana mkono wa Mungu na atafika mbali zaidi ya hapo hata kama serikali itakaa mbali naye. ana Mungu, ana kibali cha MUngu.
Hv unajua maana ya raisi au unabwatuka tu kama mbwa kokohuyu kijana wa kumtumia sana. samia amshike mkono, kuna maeneo mengi tu samia hawezi kuingia ila huyu kijana anaingia. kuna marais wengi tu samia hawezi kuonana nao ila huyu kijana anaonana nao, kuna wafanyabiashara wakubwa mno na wenye uwekezaji mkubwa kijana anaonana na kunywa nao chai ila samia hawezi. ni Mtanzania, babake kazaliwa Tanga, mchungaji fernandes wa kanisa la Agape kule mbezi.
wengi wakimwangalia wanamwona kama mhindi, hapa nchini huyo ni generation ya 4 inavyosemekana, ni Mtanzania kuliko watanzania wengi sana, babu yake alikuja hapa hata kabla wangoni hawajaja hapa nchini n.k, na kote anakoenda amejitangaza Utanzania wake, serikali imshike mkono kwa kumtangaza zaidi kwasababu uwekezaji alioufanya utaitangaza Tanzania pia. haiwezekani vijana kama hawa wawe wao ndio wanajibembeleza kwenye Utanzania badala ya Tanzania kujibembeleza kwao. wamepambana kwa jasho lao, Mzee fernandes kajinyima pale haven of peace kamsomesha hadi akapata scholarship marekani, kasoma vizuri.
kwa wale tuliokuwa tunasali Agape pale mbezi, tunakumbuka alivyokaweka wakfu uchungaji kipindi fulani, na namna mzee fernandez alivyopigania hata injili ya Tanzania na kuanzisha tv za dini. Mungu ambariki. ana mkono wa Mungu na atafika mbali zaidi ya hapo hata kama serikali itakaa mbali naye. ana Mungu, ana kibali cha MUngu.
Kama sikosei wewe ni mzee Fernandez mwenyewe, unampikia minyama mwanao... Au mkewe au Dada yake Bernice.huyu kijana wa kumtumia sana. samia amshike mkono, kuna maeneo mengi tu samia hawezi kuingia ila huyu kijana anaingia. kuna marais wengi tu samia hawezi kuonana nao ila huyu kijana anaonana nao, kuna wafanyabiashara wakubwa mno na wenye uwekezaji mkubwa kijana anaonana na kunywa nao chai ila samia hawezi. ni Mtanzania, babake kazaliwa Tanga, mchungaji fernandes wa kanisa la Agape kule mbezi.
wengi wakimwangalia wanamwona kama mhindi, hapa nchini huyo ni generation ya 4 inavyosemekana, ni Mtanzania kuliko watanzania wengi sana, babu yake alikuja hapa hata kabla wangoni hawajaja hapa nchini n.k, na kote anakoenda amejitangaza Utanzania wake, serikali imshike mkono kwa kumtangaza zaidi kwasababu uwekezaji alioufanya utaitangaza Tanzania pia. haiwezekani vijana kama hawa wawe wao ndio wanajibembeleza kwenye Utanzania badala ya Tanzania kujibembeleza kwao. wamepambana kwa jasho lao, Mzee fernandes kajinyima pale haven of peace kamsomesha hadi akapata scholarship marekani, kasoma vizuri.
kwa wale tuliokuwa tunasali Agape pale mbezi, tunakumbuka alivyokaweka wakfu uchungaji kipindi fulani, na namna mzee fernandez alivyopigania hata injili ya Tanzania na kuanzisha tv za dini. Mungu ambariki. ana mkono wa Mungu na atafika mbali zaidi ya hapo hata kama serikali itakaa mbali naye. ana Mungu, ana kibali cha MUngu.
Ni kweli ukiwa na akili kubwa jitahidi ukae na wenye akili kubwa wenzako. Ukiforce kujumuika na Wapumbavu yanakukuta ya Mo na Marehemu Manji.Vijana wenye akili kubwa kama hao ni mwiba kwa watawala wengi wa Afrika. Kwa mtu yoyote mwenye akili kubwa Afrika sio sehemu sahihi ya kuishi. Yeye mwenyewe sio mjinga kuweka makao makuu ya kampuni yake uko Kenya hii ni kwa sababu anajua figisu za wanasiasa wa bongo ni mabingwa wa kupenda kuvuna ambapo hawajashiriki kupanda, kampuni yake angeweka Tanzania izo bilioni 100 Mwigulu angeshazitolea macho. Vijana wa aina ya mwijaku na Lucas Mwashambwa ndio wanahitajika zaidi na watawala wa Afrika
Huyo mchungaji Fernandez mwenyewe hata kiswahili hajui, halafu mnazuongoea eti ni generation ya 4. ?ni Mtanzania, babake kazaliwa Tanga, mchungaji fernandes wa kanisa la Agape kule mbezi.
wengi wakimwangalia wanamwona kama mhindi, hapa nchini huyo ni generation ya 4 inavyosemekana, ni Mtanzania kuliko watanzania wengi sana
BOT imejaa wazee. Ni mwaka 2024 lakini wanafikiri na kuwaza kama tupo 1967. Hopeless.Alikataa mshahara mkubwa Marekani Microsoft akaja ili asajili kampuni huku Tanzania tukamletea mizengwe akaenda kufungua NALA kenya ndiyo makao makuu.Huku BOT ilimzingua
Ubaguzi hawajawahi kuleta faida yoyote ile kwenye shughuli zako za kila siku. Ukitoka kwa huyu jamaa utaenda tena kubagua Wachaga, Wahehe, Wagogo..Fernandez ni mtanzania? Watanzania wanadanga na kuvuta mibangi huko halafu mnajipendekeza kwa watoto wa nchi nyingine?
Anajua vizuri sana! Binafsi nimeshabahatika Kuzungumza nae LIVE!..., tulikutana Shoppers Plaza (Mbezi Beach branch)M
Huyo mchungaji Fernandez mwenyewe hata kiswahili hajui, halafu mnazuongoea eti ni generation ya 4. ?
Bongo si huwa tunajifanya tunajuanuthobiti? Mpaka PayPal hakuna ila Kenya inapaa kiuchumi kiulaini kwa kucheza na soko la fedhaHivi makao makuu ya NALA yako wapi? Bongo ama Kenya?
Na ajira wanarithisha watoto zaoBOT imejaa wazee. Ni mwaka 2024 lakini wanafikiri na kuwaza kama tupo 1967. Hopeless.