Fernandez ni mtanzania? Watanzania wanadanga na kuvuta mibangi huko halafu mnajipendekeza kwa watoto wa nchi nyingine?Hongera kwake, Jamaa anazidi kufanya makubwa na kuitangaza nchi yetu kiujumla.
Acha ujinga na hayo madharau ndio maana hamna akili na maskini wa kutupaFernandez ni mtanzania? Watanzania wanadanga na kuvuta mibangi huko halafu mnajipendekeza kwa watoto wa nchi nyingine?
Huyu sio wa type hiyo mzeeWema na kajala wanamlia timing tu
Utashangaa baada ya kufanikiwa wata mtafuta na kuanza kujipendekezaHuyo jamaa kina Mwigulu na wapumbavu wenzake walimpa frustration akashindwa kufungua ofisi bongo ikabidi asepe Kenya wakamkaribisha kwa mikono miwili, analipa kodi Kenya na kaajiri wakenya sasa, ni kama starlink wameshindwa kufungua huduma kwa ajiri ya wajinga kama Nape wanaofanya kazi kama mafisi
Dogo amnunulie Baba yake Vifaa vya Kisasa basi Agape TV imekua vile vile mpaka leo toka miaka ya 90' ipo vile vile, Mapene si haya hapaimetangazwa kwenye soko la hisa la Marekani NASDAQ kupata uwekezaji wa dola za Kimarekani milioni 40 ( Tsh. Bilioni 106)
Kama sio mtanzania,je ni raia wa nchi gani hebu nisaidie kujibuFernandez ni mtanzania? Watanzania wanadanga na kuvuta mibangi huko halafu mnajipendekeza kwa watoto wa nchi nyingine?
Ni mtanzania, utakua ni country less weweFernandez ni mtanzania? Watanzania wanadanga na kuvuta mibangi huko halafu mnajipendekeza kwa watoto wa nchi nyingine?
unajua hapo alipo kijana anapambana kujitangaza, watu wenye macho mengi kama samia, angemwita ikulu tu, dunia nzima ingejua ameitwa ikulu, hisa zake zingeongezeka huko soko la nasdaq, wawekezaji wengi zaidi wangeungana naye, na pia wawekezaji wengi wangepitia kwake kujua nini kipo Tanzania, wangekuja kuwekeza. kwasababu alichokifanya, ni njia ya malipo ya diaspora, na anaenda hadi china, ana wafanyakazi hadi wachina, sasa wachina wakiingia wengi mbona malipo yatakuwa mengi sana, west africa huko ana wateja kibao, kwanini samia usipige naye hata picha tu kupump zaidi biashara yake, hadi anapambana peke yake na wakati kabeba bendera yetu? kwahio watawala wetu wanafurahia tu pale wanapopiga picha na kina diamond na hamonize badala ya watu wa maana kama hawa?just imagine.Vijana wenye akili kubwa kama hao ni mwiba kwa watawala wengi wa Afrika. Kwa mtu yoyote mwenye akili kubwa Afrika sio sehemu sahihi ya kuishi. Yeye mwenyewe sio mjinga kuweka makao makuu ya kampuni yake uko Kenya hii ni kwa sababu anajua figisu za wanasiasa wa bongo ni mabingwa wa kupenda kuvuna ambapo hawajashiriki kupanda, kampuni yake angeweka Tanzania izo bilioni 100 Mwigulu angeshazitolea macho. Vijana wa aina ya mwijaku na Lucas Mwashambwa ndio wanahitajika zaidi na watawala wa Afrika
Mchungaji Fernandez ni Mtanzania, wahindi waliohamia hapa miaka ya 1800 huko, babu yake alitokaga Neo moja linaitwa GOA huko India, lilitawaliwa na wareno ndio maana unaona ni wahindi wakristo na hata asili ya jina lake tu. ila hata baba yake fernandez kazaliwa hapa, na fernandez mwenyewe kazaliwa Tanga, ni watanzania, na ni mchungaji wetu. kwa taarifa yako, hao wamekuja bongo kabla wangoni hawajahamia ruvuma toka south. ubaguzi utakufanya uwe masikini milele ndugu. hamsaidii kitu na humpunguzii kitu.Fernandez ni mtanzania? Watanzania wanadanga na kuvuta mibangi huko halafu mnajipendekeza kwa watoto wa nchi nyingine?
Juhudi za mama 😂😂😂😂apo samia anaingiaje acha upumbavu sio kila kitu samia samia
Tunaotumia huduma yake tunajua umuhimu wake, unaonekana hujawahi tumia huduma yake ila uko busy kuweka sumu tuu, maneno mingi tuu uwongo uwongo tuu ndio mnawezaAnachokifanya siyo kipya, huduma hizo zimekuwepo kabla NALA hawajaja, nilidhani angekuwa specific anaposema atapunguza gharama ni kwa kiasi gani, na anaposema wataboresha mifumo yao, maboresho ni yapi na yanamsaidiaje yeye kuboresha huduma, na wateja wana faidikaje na uboreshaji huo.
Kusema safi sana haisaidii, kama siyo yeye basi mleta mada atupe ufafanuzi zaidi.