Kampuni ya NALA yapata uwekezaji wa bilioni 106

Kampuni ya NALA yapata uwekezaji wa bilioni 106

Juhudi za mama 😂😂😂😂
1000011211.jpg
 
Pongezi kwake.lakini huyo siyo mtanzania original.Huyo ni chotara.watanzania original wanaendelea kupauka tu lakini jamii za ki asia zinasonga mbele.Tuwekeze kwenye elimu.ukiangalia mabilionea Hawa wa kihindi Tanzania wamesoma nje kwenye elimu nzuri tofauti na hizi za bongo za kukaririshwa ambazo huwafanya wtz wawe tegemezi kwa kuajiriwa pekee.
 
Tunaotumia huduma yake tunajua umuhimu wake, unaonekana hujawahi tumia huduma yake ila uko busy kuweka sumu tuu, maneno mingi tuu uwongo uwongo tuu ndio mnaweza
Zamani nilikuwa natumia Sendwave, lakini siku hizi natumia NALA tu. Halafu wanatoa exchange rate nzuri na wanapatikana kwenye mitandao mingi Tanzania kuliko Sendwave ambao ni Mpesa tu.
 
huyu kijana wa kumtumia sana. samia amshike mkono, kuna maeneo mengi tu samia hawezi kuingia ila huyu kijana anaingia. kuna marais wengi tu samia hawezi kuonana nao ila huyu kijana anaonana nao, kuna wafanyabiashara wakubwa mno na wenye uwekezaji mkubwa kijana anaonana na kunywa nao chai ila samia hawezi. ni Mtanzania, babake kazaliwa Tanga, mchungaji fernandes wa kanisa la Agape kule mbezi.

wengi wakimwangalia wanamwona kama mhindi, hapa nchini huyo ni generation ya 4 inavyosemekana, ni Mtanzania kuliko watanzania wengi sana, babu yake alikuja hapa hata kabla wangoni hawajaja hapa nchini n.k, na kote anakoenda amejitangaza Utanzania wake, serikali imshike mkono kwa kumtangaza zaidi kwasababu uwekezaji alioufanya utaitangaza Tanzania pia. haiwezekani vijana kama hawa wawe wao ndio wanajibembeleza kwenye Utanzania badala ya Tanzania kujibembeleza kwao. wamepambana kwa jasho lao, Mzee fernandes kajinyima pale haven of peace kamsomesha hadi akapata scholarship marekani, kasoma vizuri.

kwa wale tuliokuwa tunasali Agape pale mbezi, tunakumbuka alivyokaweka wakfu uchungaji kipindi fulani, na namna mzee fernandez alivyopigania hata injili ya Tanzania na kuanzisha tv za dini. Mungu ambariki. ana mkono wa Mungu na atafika mbali zaidi ya hapo hata kama serikali itakaa mbali naye. ana Mungu, ana kibali cha MUngu.
Aungwe mkono kama Mtanzania lakini sio kweli kuwa ana uwezo wa kuonana na Marais kuliko Rais Samia na anapoingia eti Samia Suluhu hawezi. SIO KWELI
 
Mtanzania kafungua Kampuni Kenya ninyi mmemkataa kwa kuweka mazingira yasio rafiki anapata mafanikio mnasema Mtanzania sijui kafanya nini hapo wanaofaidika ni hao Wakenya sio BOT yenu na wala TRA yenu...
Hii nchi kuna shida wawekezaji wa nje wakitaka mazingira ya biashara yabadilishwe ili wawekeze haraka haraka hubadilishwa

Mzawa akitaka yabadilishwe serikali hata haimsikilizi

Angeweza wekeza Tanzania na kuweka makao makuu Tanzania lakini mazingira hayakuwa rafiki
 
kijana ni zao la international school, watu wanawekeza kwenye elimu.

Juzi wanafunzi wa degree wamemaliza mitihani, nilishangaa sana kuona wanapiga ngoma na madumu wanafurahia kumaliza mitihani

kijana anamaliza chuo na G.P.A nzuri lakini hata kutengeneza business plan hawezi, kutumia excel ni mtafutano
 
Hii nchi kuna shida wawekezaji wa nje wakitaka mazingira ya biashara yabadilishwe ili wawekeze haraka haraka hubadilishwa

Mzawa akitaka yabadilishwe serikali hata haimsikilizi

Angeweza wekeza Tanzania na kuweka makao makuu Tanzania lakini mazingira hayakuwa rafiki
Ukizunguka huko Duniani kuna Watanzania wengi ni matajiri ila hawawezi kuwekeza nyumbani kwa sababu ya ukiritimba Nchi nyingi raia akirudi na fedha usd nyumbani iwe cash au kwa kutuma sio kosa kama ataonyesha vielelezo vya kazi aliyokua anaifanya huko nje wakati Tanzania huyo mtu ataporwa fedha Airport na kutangazwa kidogo ambazo ili wapoteze ushahidi lazima afungwe jela kwa kosa la Uhujumu uchumi kwa fedha zake hapo Nchi kuendelea sahau kabisa tumejiwekea minyororo wenyewe..
 
kuna maeneo mengi tu samia hawezi kuingia ila huyu kijana anaingia. kuna marais wengi tu samia hawezi kuonana nao ila huyu kijana anaonana nao, kuna wafanyabiashara wakubwa mno na wenye uwekezaji mkubwa kijana anaonana na kunywa nao chai ila samia hawezi. ni Mtanzania, babake kazaliwa Tanga, mchungaji fernandes wa kanisa la Agape kule mbezi.




huyu kijana wa kumtumia sana. samia amshike mkono, kuna maeneo mengi tu samia hawezi kuingia ila huyu kijana anaingia. kuna marais wengi tu samia hawezi kuonana nao ila huyu kijana anaonana nao, kuna wafanyabiashara wakubwa mno na wenye uwekezaji mkubwa kijana anaonana na kunywa nao chai ila samia hawezi. ni Mtanzania, babake kazaliwa Tanga, mchungaji fernandes wa kanisa la Agape kule mbezi.

wengi wakimwangalia wanamwona kama mhindi, hapa nchini huyo ni generation ya 4 inavyosemekana, ni Mtanzania kuliko watanzania wengi sana, babu yake alikuja hapa hata kabla wangoni hawajaja hapa nchini n.k, na kote anakoenda amejitangaza Utanzania wake, serikali imshike mkono kwa kumtangaza zaidi kwasababu uwekezaji alioufanya utaitangaza Tanzania pia. haiwezekani vijana kama hawa wawe wao ndio wanajibembeleza kwenye Utanzania badala ya Tanzania kujibembeleza kwao. wamepambana kwa jasho lao, Mzee fernandes kajinyima pale haven of peace kamsomesha hadi akapata scholarship marekani, kasoma vizuri.

kwa wale tuliokuwa tunasali Agape pale mbezi, tunakumbuka alivyokaweka wakfu uchungaji kipindi fulani, na namna mzee fernandez alivyopigania hata injili ya Tanzania na kuanzisha tv za dini. Mungu ambariki. ana mkono wa Mungu na atafika mbali zaidi ya hapo hata kama serikali itakaa mbali naye. ana Mungu, ana kibali cha MUngu.
UMELOGWA WEWE SIO BURE
 
Uweke Bongo? Muulize Melo changamoto anazopitia.

Mtu akitukana Facebook anatafutwa aliyetukana hatufutwi Mark. Akitukana Jamiiforums anasakwa Melo.

Ukitoboa Bongo nchi yoyote unatoboa.
Walimfaaanyia figisu ndio maana hq akaipeleka kenya. Tz kuna shida na ujima mwingi we fikiria mpaka leo hata paypal haipokei pesa tz. Kenya yani unaweza pokea pesa kwa njia nyingi kupitia safaricom.
Ila bot wameweka makufuli mengi eti wanazuia money laundering wakati london imejaa fedha ya ma oligarch, uswiss imejaa pesa ya viongozi wa afrika na wa asia
 
Back
Top Bottom