Mitha
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 704
- 1,011
Kama hawanywi yasingekiwepo dukani mkuu.Kuna watu wanakunywa maziwa ya unga?
Kama hawanywi yasingekiwepo dukani mkuu.Kuna watu wanakunywa maziwa ya unga?
Asas ni waarabu , itakua wameandika kiarabu labda ........... ha haa haa jokesSijawahi kuielewa expire date ya asas...especially yoghurt zile tarehe sijui ni za lugha gani
Sasa hawajui sie wabongoAsas ni waarabu , itakua wameandika kiarabu labda ........... ha haa haa jokes
Kila anae lia hushika kichwa chake haaa haa!! Ndio tutajua kua hatujuiSasa hawajui sie wabongo
Nakubaliana na kauli hii: Kazi ya kuongoza watu ni ngumu sana.Kwahiyo ndugu yangu wewe hapo ungepokea mlungula, bila kujali maziwa haya yangeumiza watanzania wenzako!?
Naanza kuamini ni sisi kweli, tuliowauza ndg zetu utumwani...
Huenda hata Yuda alikuwa Mwenye asili yetu.
Inaonekana soko gumu, walaji wachache. Mimi binafsi sijawahi kuyatumia wala kufikiria kuyatumia.Mbona Agosti bado mbali, si wauze haraka harak?
Unaposema ujawai kuyatumia unamaanisha toka umezaliwa au maana naamini 90% yetu tumewai kuyatumia tulivyokuwa watoto.Inaonekana soko gumu, walaji wachache. Mimi binafsi sijawahi kuyatumia wala kufikiria kuyatumia.
Hata ufanye vipi, gari lako haliwezi kuwa perfect the same to premisesMkaruka (Kutiki goyu?) Akarushwa nkabhibhi!
Yaani hatupaswi kabisa kuifikiria rushwa hata kwenye backgrounds of our thinking... Ukifanya kila kitu chako kwa kuzingatia taratibu na kuinvest akili when sound them rarely utakutana na majanga...
Kwani kama unaheshimu sheria za barabarani, unabeba nyaraka zako muhimu muda wote na ziko up to date .. kwanini utoe rushwa kwa askari!?
Tena karanga zile za kwenye rollers usipojiangalia utaugua kabisa TB, maana watu wanapuliza kwa mdomo kabla ya kuweka karanga.Kazi zuri sana wakaguzi. Tafadhali kagueni na Karanga za kukaanga pamojana korosho madukani. Nyingi zimeoza. Ole wako ununue mida ya usiku, utaharisha mpaka ukome.
Kale kaofisi ka bodi ya maziwa pale Regents estate kadogo, kachafu , halafu jamaa wana njaa ile mbaya. Bila kamata kamata hakuna pesa.Mkuu wewe hujui chochote au unakwepa kuuona uhalisia. Nambie chanzo cha mapato cha TFDA, NEMC, TBS mpaka wawe na mapato makubwa sana ??
Sijawahi kuielewa expire date ya asas...especially yoghurt zile tarehe sijui ni za lugha gani
Unaposema ujawai kuyatumia unamaanisha toka umezaliwa au maana naamini 90% yetu tumewai kuyatumia tulivyokuwa watoto.
Halafu Mimi ni mteja mzuri wa haya makitu! Haki nimejisikia vibaya!