Huoni kuwa imekuwa plus sasa huyu kuwepo humo kwakua anajua kila kinachoendelea? Waty wanapata wapi ujasiri wa kusema Prof. Mruma uchunguzi wake siyo sahihi? Awezaje kukosea kufanya uchunguzi mtu ambaye amekuwa insider katika process nzima ya mining?Mkuu sipendi kuitabiria nchi yetu mabaya halafu yanakuwa kweli, lakini hawa wahuni na mafisadi wa CCM wanaipeleka nchi yetu mahali pabaya sana.
Tumewashika nyeti kabisa....Asante sana JF. It's a highly valuable reference.
Yawezekana ama tumewashika ama wametushika pabaya!!
Halafu naona walioteuliwa na hii kampuni miaka hiyo ni kalemani na abdulkadir mruma,kalemani sasa naibu waziri,mruma alikula shavu la ile kamati ya mchanga ya JPM, je hii ni coincidence kwamba walikuwa pamoja kwenye ile bodi ya kampuni na sasa wakakutana mmoja naibu mwingine mwenyekiti wa kamati ya mchanga ya JPM?
Isijekuwa makampuni ya kimataifa yanagombana kupitia watanzania wenyewe.....ugomvi wa kibiashara?
Je hayajawahi kupambana kusaka leseni ya uchimbaji na sasa aliyeshindwa anatumia maafisa wetu kulipiza?
I doubt!
Ngoja tuendelee kutega masikio!!
Nahisi kuna watu wanakomoana hapa,
AiseeeeeHuyo Mruma bado ni afisa wa wizara?
Mkuu inaonekana hii picha ya mchanga ina mambo yamejificha tena makubwaAs of Sept 2010,New Board of Directors :
The Board of Directors and Executive Officers of the Company are now comprised of the following:
Name
Position
Harpreet Singh Sangha
President, Chief Executive Officer and a director
Reginald Mengi
Chairman of the Board and a director
Honorable Joseph Rugumyamheto
Director
Wenqin Zhang
Director
Revno Scheepers
Director
Douglas Boateng
Director
Herminder Rai
Secretary, Treasurer and Chief Financial Officer
Duh!Then apewe Uwaziri kamili kuchukua nafasi ya Prof. Muhongo.
Katibu Mkuu apewe Prof.Mruma.
P.
Juzi kala shavu la Tume ya Mchanga!!Huyo Mruma bado ni afisa wa wizara?
Tusubiri tuone!!hapa naona kinachofuata ni Acacia kupigwa chini.
tusiwavunje moyo kabla ya kuanza.......sometimes inabidi uingie kwenye kiini cha matatizo ili kutatua matatizo hayo.
watanzania mliochaguliwa nafasi nyeti kama hizo, tunaomba mkumbuke utanzania wenu na mpiganie haki za wananchi watanzania wenzenu
Hawakustahili kuwa kwenye Tume/wizara kama wao wenyewe ni wakurugenzi wa kampuni pinzani ya madini kibiashara,lazima wangeweka "wivu"Nilichojifunza hapa Prof Mruma na Dk Kalemani wanaufahama mzuri wa hii sekta zaidi ya waropokaji kama kina Lissu, kwa wale waliokuwa wanatoa kejeli Prof Mruma ni mwanataaluma anayejua kucheua madesa tu wana la kujifunza hapa.