Kampuni ya Madini Canada yawapa Ulaji Watanzania Wawili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni ya Madini Canada yawapa Ulaji Watanzania Wawili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Companero, Aug 5, 2008.

 1. Companero

  Companero Platinum Member

  #1
  Aug 5, 2008
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Douglas Lake Minerals Board of Directors and Director of Exploration Appointments

  Last update: 3:15 p.m. EDT Aug. 4, 2008

  VANCOUVER, Aug 04, 2008 /PRNewswire-FirstCall via COMTEX/ -- Douglas Lake Minerals Inc. (OTC BB: DLKM./ Frankfurt: D6O.F) announced today the appointment of two senior Tanzanian officials to the Board of Directors. Mr. Gus Sangha and Dr. David Groves have stepped down from the Board and the Company thanks them for their valuable assistance during their tenure. Dr. Groves will remain with Douglas Lake as Director of Exploration.

  Dr. Medard M.C. Kalemani, LLB, LLM, PhD, Mining Management - Director
  Dr. Kalemani is the General Counsel to the Millennium Challenge Account Tanzania, Ministry of Finance, which is an autonomous government entity responsible for managing energy, transportation and water projects in Tanzania. He served as State Attorney of the Tanzanian Ministry of Energy and Minerals from 1999 to 2007, and from 1997 to 1998, he was a Legal Officer and Manager of the Tanzanian Branch of the International Rescue Committee, UNHCR. He was also legal consultant to UNDP Vienna in Tanzania and an independent consultant on a team that reviewed the Minerals Act of the Republic of South Africa. In 2002, Dr. Kalemani authored a thesis titled "Comparative Study of Mineral Laws" which compared laws between Tanzania, South Africa, Namibia and Botswana.

  Prof. Abdulkarim Mruma, BSc, MSc, PhD, Geology - Director
  Prof. Mruma is the Chief Executive Officer of the Geological Survey of Tanzania, Ministry of Energy and Minerals and since 2004, he is the Vice Chairman of the Association of Geological Survey of Africa. He was the Head of the Department of Geology at the University of Dar es Salaam from 1994 to 2004. Other positions he has held include: National Coordinator, International Geological Correlation Programs; External Examiner, Department of Geology of the University of Nairobi in Kenya and the University of Makerere in Uganda. He also has had extensive involvement as a board and steering committee member of numerous geological and environmental research projects and groups. Prof. Mruma has published over thirty international publications, mainly in the fields of structural geology, precambrian geology, stratigraphy and mineral deposits. He has consulted on and authored more than twenty technical reports in the fields of resource assessments and engineering geology. He is currently a member of the Geological Society of Africa and the Tanzania Geological Society. Prof. Mruma is also a Board Member of Williamson Diamonds Limited, Diamond Mine at Mwadui. The Williamson Diamond Mine is owned by De Beers and the Government of Tanzania.

  Dr. David Groves, BSc, PhD, Geology - Director of Exploration
  Dr. David Groves, BSc Honours and PhD, started his career working for the Geological Survey of Tasmania. In 1972, he joined the University of Western Australia where he progressed to full Professor by 1987, teaching undergraduate classes in field and structural geology and ore genesis/economic geology. From 1987 to 2005, Dr. Groves was Director of both the Centre for Strategic Mineral Deposits and Centre for Global Metallogeny. During his academic career, he authored and co-authored over 500 papers and is widely published on Archaean evolution, the nature and genesis of komatiite-hosted Ni-Cu and orogenic gold deposits, global metallogeny and conceptual targeting of mineral deposits. He was President of the Geological Society of Australia and the Society of Economic Geologists, and is currently President-Elect of SGA (European Society of Economic Geologists). He has received nine medals for his research, including the Silver Medal of the Society of Economic Geologists and the Geological Association of Canada Medal. Dr. Groves has also been contracted as a consultant to the Geological Survey of Tanzania.

  About Douglas Lake
  DLKM is an emerging mineral exploration company focused on exploring and developing gold, copper, nickel, uranium, and diamond mining opportunities in Tanzania. For more information, go to www.douglaslakeminerals.com

  This release contains forward-looking statements which involve risks and uncertainties. Complete forward-looking statement available at www.douglaslakeminerals.com/forwardlooking.html.

  SOURCE Douglas Lake Minerals
  Copyright (C) 2008 PR Newswire. All rights reserved
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Aug 5, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Yote hii ni katika mkakati wa kujiandaa na majadiliano ya kulinda interests za makampuni ya kanada ili yaangamize interests za Tanzania. Tunarudi kwenye story ya "Nokora Mpumbavu" iliyosimuliwa na Paul Sozigwa miaka ile ya sabini katika kipindi chake cha Mazungumzo Baada ya Habari kule RTD. Kuwa tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki watumwa alimchukua mtumwa mmoja wao akampa mamlaka ya unokora wa kuwasimamia watumwa wenzie. Huyu nokora alijiona ameula sana, akawa mkali na katiri sana kwa watumwa wengine ingawa mbele ya yule tajiri alikuwa ni mtumwa tu.
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,690
  Likes Received: 82,554
  Trophy Points: 280
  Naam kichuguu, hawa watakuwa upande wa bwana anayewaweka mjini, kamwe pamoja na kuwa ni Watanzania hawatatetea maslahi ya nchi yetu. Na siajabu wana shares zenye thamani kubwa katika kampuni hiyo
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Aug 5, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Huyo Mruma bado ni afisa wa wizara?
   
 5. T

  Tom JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2008
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa ni waajiriwa tu, na watafanya kazi kwa viwango na matakwa ya mwajiri licha ya kuwa kwa kiburi ama uzalendo wao wanaweza enda kinyume na mwajiri.
  Wa kuwakaba koo ni wale wanaowakilisha umma wa Tanzania.
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2008
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  tusiwavunje moyo kabla ya kuanza.......sometimes inabidi uingie kwenye kiini cha matatizo ili kutatua matatizo hayo.

  watanzania mliochaguliwa nafasi nyeti kama hizo, tunaomba mkumbuke utanzania wenu na mpiganie haki za wananchi watanzania wenzenu
   
 7. Companero

  Companero Platinum Member

  #7
  Aug 5, 2008
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ndio maana Mzee wa Butiama aliona mbali aliposisitiza tuwe na Mwongozo (Leadership Code) katika masuala kama haya! Hata Msahafu wa Kikristo unasema huwezi kutumikia mabwana wawili! Lazima utampenda mmoja kuliko mwingine! Kupata hali ya 'Win-Win' anayoitaka Muungwana ni njozi hapo!
   
 8. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Watanzania bwana! mnataka mpaka nani apewe hizo nafasi ndio mfurahi?

  Ni afadhali kuwa na watanzania humo kuliko kutokuwepo. Hiyo mikataba imesainiwa na hatuwezi kubadili kitu, ni bora angalau baadhi ya Watanzania wenzetu wapate ajira za maana.

  Huko mbele nafasi nyingi za uongozi kwenye makampuni ya kigeni Tanzania inatakiwa zishikiliwe na Watanzania. Hiyo ndio faida pekee tunayoweza kuipata.

  Tusiwahukumu Watanzania wenzetu bila ushahidi. Ni bora kuwa na Mtanzania fisadi ndani ya Tanzania kuliko mgeni fisadi. Zimwi likujualo halikuli likakwisha. Si hata Nkono na ufisadi wake anasaidia jamii zaidi ya hao wahindi wa radar ambao wanatanua Europe.

  Nawapongeza hawa watanzania wenzetu na kuwaombea wafanikiwe kwenye majukumu yao na wajitahidi kulinda maslahi ya nchi yetu.
   
 9. Companero

  Companero Platinum Member

  #9
  Aug 5, 2008
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mmh hata Zimwi Mobutu halikuwala Wazaire likakwisha? Je, Zimwi Chiluba nalo halikuwala Wazambia likakwisha? Na, je, visenti vyetu havitanui huko katika Kisiwa cha Jezi, barani Uropa?
   
 10. M

  Msavila JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2008
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 404
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Uzalendo kwenye kampuni binafsi haupo. Wao watafanyakazi kulingana na matakwa ya wenye hisa, ambayo ni faida zaidi na zaidi kwa pesa waliyowekeza. Tusitegemee la ziada. Kwamba tutapata mikataba isiyo ya kinyonyaji kisa kuna watanzania kwenye board of directors ni ndoto, hawa watatumika kupenyeza na kulobby serikalini na bungeni wakitumia watu waliofahamiana nao ili kampuni ipate ikitakacho tu. Watatumia huohuo msemo wazimu likjualo...
   
 11. Machiavelli

  Machiavelli Member

  #11
  Aug 5, 2008
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Bre-X II
  Bob Moriarty
  Archives
  Aug 4, 2008

  Six weeks back Vancouver based Douglas Lake (DLKM) announced a "Name That Property Contest."

  It appears your Web browser is not configured to display PDF files. No worries, just click here to download the PDF file.

   
 12. Offline User

  Offline User JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2015
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  Dr Kalemani huyu ndo kateuliwa kuwa naibu waziri wa Nishati na Madini?
   
 13. c

  chinembe JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2017
  Joined: May 16, 2015
  Messages: 4,063
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  BAK wewe ni mkongwe sana na ulitabiri mambo haya kitambo sana
   
 14. c

  chinembe JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2017
  Joined: May 16, 2015
  Messages: 4,063
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Kuna kazi kubwa mbele!!
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2017
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,690
  Likes Received: 82,554
  Trophy Points: 280
  Mkuu sipendi kuitabiria nchi yetu mabaya halafu yanakuwa kweli, lakini hawa wahuni na mafisadi wa CCM wanaipeleka nchi yetu mahali pabaya sana.

   
 16. c

  chinembe JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2017
  Joined: May 16, 2015
  Messages: 4,063
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Halafu naona walioteuliwa na hii kampuni miaka hiyo ni kalemani na abdulkadir mruma,kalemani sasa naibu waziri,mruma alikula shavu la ile kamati ya mchanga ya JPM, je hii ni coincidence kwamba walikuwa pamoja kwenye ile bodi ya kampuni na sasa wakakutana mmoja naibu mwingine mwenyekiti wa kamati ya mchanga ya JPM?

  Isijekuwa makampuni ya kimataifa yanagombana kupitia watanzania wenyewe.....ugomvi wa kibiashara?

  Je hayajawahi kupambana kusaka leseni ya uchimbaji na sasa aliyeshindwa anatumia maafisa wetu kulipiza?

  I doubt!

  Ngoja tuendelee kutega masikio!!

  Nahisi kuna watu wanakomoana hapa,
   
 17. c

  chinembe JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2017
  Joined: May 16, 2015
  Messages: 4,063
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
 18. c

  chinembe JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2017
  Joined: May 16, 2015
  Messages: 4,063
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo, kubwa sana!!
   
 19. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2017
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Then apewe Uwaziri kamili kuchukua nafasi ya Prof. Muhongo.
  Katibu Mkuu apewe Prof.Mruma.

  P.
   
 20. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2017
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
Loading...