Kampuni ya mabasi ya Shabiby ni wahuni

Kampuni ya mabasi ya Shabiby ni wahuni

Kweli kabisaa,wote wangeamua moja na kukomaa wangefika mbona huko Arusha,wasingekubali kushuka huku wengine wakiwasiliana na kituo cha polisi hapo walipo,haya mambo ya kihuni sio wakati wake huu sasa kwa karne hii asee,.
Tatizo hatukujua wanatupeleka kwenye mngalangala uliojaa....kufika kule tukawa tushagawanyika wengine wakashuka kutafuta usafiri mwingine huku wakitukana...mi nimeamua zangu nigonge moja mbili kwanza hapa Redstone huku nikitafakari walichotufanyia then ntaamsha badae....ila pakinoga nikikamatia kitu kizuri arusha wataniona kesho...
 
We haukuwa serious na safari bora tuu walivyokushusha,.lol😄
 
Mkuuuu
Kwanza nikupe polee kwa yaliokukutaa mkuuuu honest its very disppoint
And naomba nikupe taarifa kuna vile vidada vyake vipo pale dodoma vyakipuuzi sanaaa
No customer care
Vinavaa nusu uchiii
Sasa sijuagi wanavaa ili iwejee tuwatongozee auuuu
And vina midomooo kama chuchungi cha sigaraaa
Honest Shabiby ya mwaka miaka miwili iliyopita na ya sasa ni kama kaa la motoo
And nimeachaga hiyo biashara ya hayo mabasiiii
 
Ina maana wamekatksha ruti Ni kosa kisheria
 
Hao abood wenyewe route ya Dar - Mwanza ni wahuni vibaya, kipindi flani nilisafiri nao tulipofika Moro wakaingia gereji kwao, wakatusubirisha zaidi ya 1h , baada ya kuwalalamikia sana ndo tukaendelea na safari. But Abood Dar to Moro ni confortable sana
Ni wahuni sana, mabasi mabaya, hawana customer care, usafiri wa uhakika ni Abood Bus
 
We haukuwa serious na safari bora tuu walivyokushusha,.lol😄
Hapana mkuu waliniboa sana yaani hapa nikipata na mtu wa kunituliza hasira ndo ntaenda arusha kwa amani...si unajua moshi na arusha pua na jicho so kote viwanja vya home...ngoja nione maana hapajaanza kuchanganya
 
Sawa paty
 
Hao abood wenyewe route ya Dar - Mwanza ni wahuni vibaya, kipindi flani nilisafiri nao tulipofika Moro wakaingia gereji kwao, wakatusubirisha zaidi ya 1h , baada ya kuwalalamikia sana ndo tukaendelea na safari. But Abood Dar to Moro ni confortable sana
Abood na Hood ndio kamchezo kao sometimes mkifika garage kwao wanawabadilishia basi
 
Tatizo hatukujua wanatupeleka kwenye mngalangala uliojaa....kufika kule tukawa tushagawanyika wengine wakashuka kutafuta usafiri mwingine huku wakitukana...mi nimeamua zangu nigonge moja mbili kwanza hapa Redstone huku nikitafakari walichotufanyia then ntaamsha badae....ila pakinoga nikikamatia kitu kizuri arusha wataniona kesho...
Safi baharia....nakurahisishia mazingira ili usipigwe baridi...kuna dude hapo redstone liko sokoni linaitwa pamela litakufaa...ukiwa unalipiga unaliambia tukana Shabiby...
 
Mkuuuu
Kwanza nikupe polee kwa yaliokukutaa mkuuuu honest its very disppoint
And naomba nikupe taarifa kuna vile vidada vyake vipo pale dodoma vyakipuuzi sanaaa
No customer care
Vinavaa nusu uchiii
Sasa sijuagi wanavaa ili iwejee tuwatongozee auuuu
And vina midomooo kama chuchungi cha sigaraaa
Honest Shabiby ya mwaka miaka miwili iliyopita na ya sasa ni kama kaa la motoo
And nimeachaga hiyo biashara ya hayo mabasiiii
Asante sana mkuu kwa kunipa pole....makampuni huwa yanafeli sababu ya poor management sasa kama hawa kuweka warembo tu ofisini wanajua wamemaliza
 
Sawa paty
Mkuu umeniita vizuri jina mpaka nimeshtuka maana ndio navoitwa na masela wa utotoni....umesaidia kunituliza hasira leo maana hizi hasira nilikua nshaanza kufkiria threesome ndio itaziondoa
 
Hilo basi nadhani ni liliona abiria wa dar- arusha ni wengi ndo likaja huko alafu wakaja gundua wengi mnaishia mosh wakaamua laza gari moshi ilikesho lianzie hapo kwenda dom
 
Kuna bro wangu anafahamiana na Boss wa Shabiby,Nimemtumia hii taarifa kampigia simu hapa hapa nkiwa naye.Yule boss kasema hilo basi washaliuza siku nyingi sema wale jamaa hawajabadilisha jina wala rangi.Ishu ya kuwashusha watu ni kwamba wale jamaa walikuwa wanaogopa SUMATRA kukamatwa.
 
Hii kampuni nilikua naamini ni kampuni inayojiheshimu ila leo ndio nimewadharau na sitokaa nipande tena mabasi yao. Leo nimesafiri na basi lao namba T 132 DLC toka Dar kwenda Arusha cha ajabu tumefika moshi wakatuweka kama nusu saa kisha wakatuambia wameahirisha hawafiki Arusha wanaishia Moshi. Wakatufaulisha kwenye libasi libovu limetoka vijijini na bahati mbaya basi lilikua limejaa tukabishana nao sana wakadai tusimame asietaka ashuke. Kuna wamama walikua na watoto wamelalamika mno na wengine wakaamua kutafuta usafiri mwingine. Binafsi pia niligoma kusimama basi limejaa mno.
Kudhihirisha sio bahati mbaya ni uhuni kwanza walituchelewesha sana pale Same baada ya abiria kwenda kulalamika kwa polisi wamelipa nauli mara mbili na wqmegoma kurudishiwa. Hao abiria walikua wanne mmoja aliwalipia wenzake watatu na wao bila kujua wqmelipiwa wakalipa tena baadae walipogundua wakadai refund Shabiby wakagoma ndio kisa cha kutuchelewesha tena lisaa lizima pale Same. Hawa jamaa ni wahuni kupitiliza tofauti na wanavyoonekana na basi zao kuvutia.
Pole Sana Ila napenda kukufahamisha kwamba hakuna Basi la Shabiby la kutoka Dar kwenda Moshi au Arusha. Hilo basi kuna kampuni moja ya Mvungi ndio wametoka kununua hilo basi la kampuni ya Shabiby T132 DLC.Ili kudhihirisha hilo naamini hata tiketi uliyopewa sio ya Shabiby. Ila Pole Sana kwa Usumbufu
 
Kweli kabisaa,wote wangeamua moja na kukomaa wangefika mbona huko Arusha,wasingekubali kushuka huku wengine wakiwasiliana na kituo cha polisi hapo walipo,haya mambo ya kihuni sio wakati wake huu sasa kwa karne hii asee,.
Police nao hawaaminiki, tuliwahi kupata tatizo bus likatuweka njiani eneo karibia na mizani dodoma kwa masaa 5 tuliomba msaada lakini tukawa tunajibiwa vijana wameenda kwenye ajali wakitoka watakuja.
 
Hizi taarifa zilipaswa zimfikie boss wao,
Mtu unaajiri watu ukitarajia wakuboreshee biashara kumbe wanakuharibia, half ukifukuzwa unaanza kulalama.

Bosi wao ambaye ni Mbunge wa Gairo Shabiby je alishamaliza kesi yake na DC wa Gairo maana naye ni mtata fulani hivi mpaka JPM alimwomba akaombe msamaha Bungeni amasivyo alitaka amtumbue bila ganzi na ubunge wake
 
Ukweli ni kua gari hiyo ilishauzwa so muuzaji kaamua kubeba abiria bila kibali cha Sumatra. Nmeongea na mtu wa karibu wa shabiby. Mtoa mada ulipewa tiket imeandikwa kampuni ipi, kama utaweza tuwekee tiket hapa [sorry sio kwa nia mbaya]
 
Back
Top Bottom