Kampuni ya mabasi ya Shabiby ni wahuni

Kampuni ya mabasi ya Shabiby ni wahuni

Customer care yao mbovu sana japo wana bus nzuri sana. ABC wako vizuri wanajali abiria wao kwa route ya Dar - Dom
 
Hii kampuni nilikua naamini ni kampuni inayojiheshimu ila leo ndio nimewadharau na sitokaa nipande tena mabasi yao. Leo nimesafiri na basi lao namba T 132 DLC toka Dar kwenda Arusha cha ajabu tumefika moshi wakatuweka kama nusu saa kisha wakatuambia wameahirisha hawafiki Arusha wanaishia Moshi. Wakatufaulisha kwenye libasi libovu limetoka vijijini na bahati mbaya basi lilikua limejaa tukabishana nao sana wakadai tusimame asietaka ashuke. Kuna wamama walikua na watoto wamelalamika mno na wengine wakaamua kutafuta usafiri mwingine. Binafsi pia niligoma kusimama basi limejaa mno.
Kudhihirisha sio bahati mbaya ni uhuni kwanza walituchelewesha sana pale Same baada ya abiria kwenda kulalamika kwa polisi wamelipa nauli mara mbili na wqmegoma kurudishiwa. Hao abiria walikua wanne mmoja aliwalipia wenzake watatu na wao bila kujua wqmelipiwa wakalipa tena baadae walipogundua wakadai refund Shabiby wakagoma ndio kisa cha kutuchelewesha tena lisaa lizima pale Same. Hawa jamaa ni wahuni kupitiliza tofauti na wanavyoonekana na basi zao kuvutia.
Namfahamu vizuri tajiri wa haya mabasi, atakuwa hajui hayo matukio, maana ni bosi asiyetaka ujinga kama huo
 
Kila wkiend narudi kuiona familia nilikuwa napanda shabby nikijua hakuna basi na huduma zuri kama wao kumbe nilikuwa napandia jina tu na ninalipa nauli kubwaa ila baada ya kufanyiwa ushenzi na wafanyakazi hasa yule dereva bwege yule.... Niliwahama sasa nimegundua kuna basi nzuri kuliko wao huduma nzuri na nauli ya kawaida tu sema hawana jina tu. kumbe kukariri ni kubaya napoteza pesa kwa matapeli.
 
Hii kampuni nilikua naamini ni kampuni inayojiheshimu ila leo ndio nimewadharau na sitokaa nipande tena mabasi yao.

Leo nimesafiri na basi lao namba T 132 DLC toka Dar kwenda Arusha cha ajabu tumefika moshi wakatuweka kama nusu saa kisha wakatuambia wameahirisha hawafiki Arusha wanaishia Moshi.

Wakatufaulisha kwenye libasi libovu limetoka vijijini na bahati mbaya basi lilikua limejaa tukabishana nao sana wakadai tusimame asietaka ashuke.

Kuna wamama walikua na watoto wamelalamika mno na wengine wakaamua kutafuta usafiri mwingine. Binafsi pia niligoma kusimama basi limejaa mno.

Kudhihirisha sio bahati mbaya ni uhuni kwanza walituchelewesha sana pale Same baada ya abiria kwenda kulalamika kwa polisi wamelipa nauli mara mbili na wqmegoma kurudishiwa.

Hao abiria walikua wanne mmoja aliwalipia wenzake watatu na wao bila kujua wqmelipiwa wakalipa tena baadae walipogundua wakadai refund Shabiby wakagoma ndio kisa cha kutuchelewesha tena lisaa lizima pale Same.

Hawa jamaa ni wahuni kupitiliza tofauti na wanavyoonekana na basi zao kuvutia.
Mngetoboa matairi ili mgawane maumivu
 
Ukweli ni kua gari hiyo ilishauzwa so muuzaji kaamua kubeba abiria bila kibali cha Sumatra. Nmeongea na mtu wa karibu wa shabiby. Mtoa mada ulipewa tiket imeandikwa kampuni ipi, kama utaweza tuwekee tiket hapa [sorry sio kwa nia mbaya]
Shabiby hawawezi kufanya uhuni wa namna hiyo. Nakubaliana na wewe kwamba inawezekana hilo basi lilishauzwa wanunuzi waka -take advantage ya kutumia trademark ya Shabiby.
 
Nimefurahi sana SHABIBY kushinda kwenye kura za maoni, haya endeleeni kuteseka tu. Sisi tuko nyuma yake.
 
Back
Top Bottom