wadau kunatangazo ambalo lina helezea kua kunakampuni unaweza kujiunga nayo weweze kukuwezesha kununua vitu ebay
hahahaaa, kazi kwelikweli! Akuunganishe vipi sasa, jf uliunganishwa na kampuni?!!!! Au ukitaka kununua shati mnadani unaunganishwa na kampuni?!!!...nenda kwenye bank yako ukaunganishe card yako ya visa au mastercard waiwezeshe manunuzi ya mtandaoni kisha kajisajili paypal uanze kununua vitu mara moja.
twayibuUmepotea njia. Jihadhari na PM zitazokujia. wengi ni matapeli humu JF