Kampuni ya BARRICK Yatoa msaada!!

Kampuni ya BARRICK Yatoa msaada!!

Gwaks makono

Senior Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
109
Reaction score
16
Baada ya chibuku kulipa kodi kubwa kuliko migodi yote minne inayomilikiwa na barrick,sasa barick yaamua kutoa msaada wa bilion 16 za uwekezaji vijijini!
 
Watazipeleka kwenye jimbo la Zitto ili waendelee kumnyamazisha
 
Watazipeleka kwenye jimbo la Zitto ili waendelee kumnyamazisha
<br />
<br />
nani kakwambia,hz zinaishia mifukoni mwa magamba kujenga nyumba masaki na nyingine kununulia mav8 ya watu.
 
Back
Top Bottom