Kampuni ya Apple yaja na earphones wireless (Apple airpods)

Nokia akirudi kwa njia za Android sioni akifanya chochote, nilikuwa namkubali kwenye OS zake mwenyewe kama vile Maemo, Symbian n.k, alipokuwa anatengeneza hardware zake na software(OS) alikuwa anaoptimize software kurun kwenye hardware ndo maana hata simu zake kama Nokia C7 ambayo ina run 680MHz na RAM ya 256MB bado utaona inarun smoothly zaidi ya android inayorun 1GHz na 788MB RAM, Ndo utajua ni kwa nini iphone 7 ambayo ina 2GB of RAM na quad core processor itazipita Samsung Galaxy S7 yenye 4GB of RAM na octa core processor kwa sababu Apple anadesign mwenyewe hardware na software hivyo anajua jinsi ya kuoptimize software iweze kufanya kazi kwenye hardware

Umeelezea vyema kabisa.
 
ila mkuu hii ni myth kusema simu za iphone hazina nguvu
1. processor yenye speed zaidi ya simu kwenye single thread perfomance ni ya iphone
2. kioo kina resolution ndogo na gpu yenye nguvu
3. fastest memory kuanzia ram hadi internal storage (tukimtoa samsung)

ukiangalia simu za zamani kama iphone 4 na 4s haziwezi run ios mpya smooth, ina maana ios imekuwa nzito sema tu hardware za iphone ni nzuri zaidi
 
Unaona chipset ya iphone na snapdragon 820 ipi ina nguvu??
 
wa
Wakati wa uzinduzi wa iphone 7 mnamo September 7 iphone walithibitisha kwamba simu zao hazitakua na wired earphones bali zitakua wireless. Apple airpods zinakua runed by apple chip w1 ambayo inakuwezesha ku connect iphone yako au apple watch na hizo earphones. View attachment 395931

Apple airpods zinakuwezesha kuongea na Siri kwa urahisi kwa ku zi 'double tap' directly unaongea na Siri

Kampuni ya apple wamezitoa kwa bei yao "nafuu" ya $159 tu

Wale team apple kaz kwenu

Walete na charger ya wireless
 
Unaona chipset ya iphone na snapdragon 820 ipi ina nguvu??
kwenye single thread imeachwa sana 820. mfano angalia score za geekbench
-A10 (soc ya apple) around 3300
-sd 820 ni around 2300

hivyo unaona hapo ni zaidi ya asilimia 40 imepitwa.

kwenye gpu sd 820 ilikuwa imempita a9 sijui A10 itakuwaje.

benchmark za iphone mpya hazijatoka vizuri ngoja simu zikianza kuingia mitaani zitapatikana kwa usahihi.

kwenye multithread kirin na exynos zitakuwa vizuri bado sababu zenyewe zina core 8 huku ya apple ina core 2.
 
Nokia akirudi kwa njia za Android sioni akifanya chochote, nilikuwa namkubali kwenye OS zake mwenyewe kama vile Maemo, Symbian n.k, alipokuwa anatengeneza hardware zake na software(OS) alikuwa anaoptimize software kurun kwenye hardware ndo maana hata simu zake kama Nokia C7 ambayo ina run 680MHz na RAM ya 256MB bado utaona inarun smoothly zaidi ya android inayorun 1GHz na 788MB RAM, Ndo utajua ni kwa nini iphone 7 ambayo ina 2GB of RAM na quad core processor itazipita Samsung Galaxy S7 yenye 4GB of RAM na octa core processor kwa sababu Apple anadesign mwenyewe hardware na software hivyo anajua jinsi ya kuoptimize software iweze kufanya kazi kwenye hardware

Hili ndo jibu sahihi kabisa. Na ndo kinachomfanya Samsung aonekane kanjanja.

Watu wananunua bidhaa za apple simply tayari ameshatengeneza ecosystem yake inayounganisha kuanzia tablet, mobile phone, PC and Desktop.
 
Ni idea nzuri.

Mimi nitabaki na kutumia EarPods za kawaida. No need to charge na pia hazipotei kirahisi kama wireless EarPods.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mm iphone hata dukani wauze 150000 siwezi kununua. Kwasababu simu gani ambayo ukishahu password tu simu linageuka kuwa kopo.

Basi tatizo sio iPhone bali ni wewe mwenyewe na umakini wako. Utashindwaje kusema umesahau password na ukafuata maelekezo kupata password mpya? Labda kama simu sio ya kwako ndio simu itabaki kuwa kopo au mwenyewe atakukamata nayo tu kwa kuku-locate. And the good thing iPhone sio kama android unaweza kuzima GPS.
 
Nokia akirudi kwa njia za Android sioni akifanya chochote, nilikuwa namkubali kwenye OS zake mwenyewe kama vile Maemo, Symbian n.k, alipokuwa anatengeneza hardware zake na software(OS) alikuwa anaoptimize software kurun kwenye hardware ndo maana hata simu zake kama Nokia C7 ambayo ina run 680MHz na RAM ya 256MB bado utaona inarun smoothly zaidi ya android inayorun 1GHz na 788MB RAM, Ndo utajua ni kwa nini iphone 7 ambayo ina 2GB of RAM na quad core processor itazipita Samsung Galaxy S7 yenye 4GB of RAM na octa core processor kwa sababu Apple anadesign mwenyewe hardware na software hivyo anajua jinsi ya kuoptimize software iweze kufanya kazi kwenye hardware

Majority hawafahamu hizi facts ambazo ni muhimu sana kuzijua. [emoji1417]
 
$ 159x 2000=???
159 x 2235

Tsh 355,365

Ila Kuna Watu watanunua Tu.. Mbele Ya Hawa Viumbe
1473406303067.jpg

1473406373604.png
 
Back
Top Bottom