Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
CHINA POLY GROUP CORP. ni kampuni ya kichina inayomilikiwa na serikali ya CHINA, Kampuni hii pamoja na mambo mengine inajishughulisha na utengenezaji wa vifaa vya kijeshi, vile vile kampuni hii kama nilivyosema kuwa pamoja na utengenezaji wa vifaa vya kijeshi vile vile ndiyo iliyopewa tender ya ujenzi wa PHASE 4 hapa KINYEREZI-DAR ES SALAAM-TANZANIA.
Kampuni hii itatoa hizo chopa kwa SERIKALI ila zitafanya kazi za CCM hii ni baada ya deal kugundulika mapema ambapo DR. Slaa ( Mungu Amlinde Sana ) alitoboa siri mapema.

Hizi nazo zilitoka wapi CDU?
china poly group corp. Ni kampuni ya kichina inayomilikiwa na serikali ya china, kampuni hii pamoja na mambo mengine inajishughulisha na utengenezaji wa vifaa vya kijeshi, vile vile kampuni hii kama nilivyosema kuwa pamoja na utengenezaji wa vifaa vya kijeshi vile vile ndiyo iliyopewa tender ya ujenzi wa phase 4 hapa kinyerezi-dar es salaam-tanzania.
Kampuni hii itatoa hizo chopa kwa serikali ila zitafanya kazi za ccm hii ni baada ya deal kugundulika mapema ambapo dr. Slaa ( mungu amlinde sana ) alitoboa siri mapema.
Ha! Ha! Haaaa!!!! Asante kwa picha mkuu .inatia kinyaa
Ziara ya JK China imewachanganya sana CDM na kambi nzima ya ukawa. Hivi Sasa kila mtu na kila mwanachama wa CDM habari ya mujini ni hiyo. Hakuna rangi mtakayo acha kuiona kwa JK mwaka huu, atawatesa sana kwa kukubalika kwake Kila nchini na kimataifa na walio wengi.
DR SLAA AMEFUNUA MAMBO ya siri sana , mpaka leo hakuna hata kimbelembele yeyote aliyekanusha !
why serikal yetu inahofia kufanya biashara???wenzetu wanaweza ati