Kampuni ipi nzuri ya Ulinzi hapa Tanzania?

Pep

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,338
5,482
Hello wanajamvi.

Ninahitaji msaada ipi kampuni nzuri ya ulinzi hapa Tanzania.

Kuna kampuni mpya ya jamaa yangu inahitaji ku hire Security Co ila hjawa certain sana aitumie ipi kwa zilizopo Tanzania.

Kwa anayezifahamu vizuri msaada tafadhali.

Natanguliza shukrani
emoji120.png

Kampuni nzuri ni zilizotoka nje ya nchi kama,

1. G4S

2.KK

3. Ultimate nk

4. Knight support
- Ila ni gharama kidogo ukilinganisha na kampuni za ndani
 
Nikapishana na gari imeandikwa "Mkikute Security.." nikasema basi sawa nitakikuta tu.
 
Hello wanajamvi.

Ninahitaji msaada ipi kampuni nzuri ya ulinzi hapa Tanzania.

Kuna kampuni mpya ya jamaa yangu inahitaji ku hire Security Co ila hjawa certain sana aitumie ipi kwa zilizopo Tanzania.

Kwa anayezifahamu vizuri msaada tafadhali.

Natanguliza shukrani
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png

Kk
 
Back
Top Bottom