Hii imetulia,yeye mwenyewe hajawahi kushobokewa na kampuni yoyote ije kuwa mtoto.Kampun zmtake mtoto wake wakat hata yy mwenyewe hazmtak.... wabongo kwa kufake bhanaaaa
Tanzania Tanzania Tanzania nakupenda sana kwa moyo wote......watu wengi duniani huja "kutuona" kwasababu tumegeuka kuwa sehemu ya vivutio vikubwa duniani, kuanzia ongea yetu, hadi tabia na mienendo yetu.
ha ha ha"kwani wanaamini mtoto huyo atakuwa kivutio kikubwa."
Upumbavu to the nth degree!
Eti mtoto atakuwa kivutio kikubwa! Sababu?
Atakuwa na mapembe huyo mtoto? Atakuwa na mkia labda?
Kama atakuwa kivutio kikubwa si wampeleke kwenye zoo huko watu wawe wanalipia hela kwenda kumwona.
Haya wale wenye kutokwa povu kwenye matundu yote mliyonayo nakaribisha matusi yenuπ.
Kama una ubavu ni quote twende toe to toe ila kama huna unaweza ukanitukana bila kuninukuu na kusepa.
HahahahaaaTeh teh teh....itabidi UNESCO ituongeze katika orodha ya world heritage sites.
Sasa subiri uone matusi ya akili ndogo [huko waliko wanasonya kimya kimya maana hawana ubavu wa kuninukuu]
ππππ
Teh teh teh....itabidi UNESCO ituongeze katika orodha ya world heritage sites.
Sasa subiri uone matusi ya akili ndogo [huko waliko wanasonya kimya kimya maana hawana ubavu wa kuninukuu]
ππππ
duuh! naona Wema ana guarantee kabisa na Mungu hivi hajui kuwa kuna lolote linaloweza kutokea hichi kipindi cha mimba?
ππ embu ngoja nisubscribe ili nijionee wale Team vi.ja.mbi.o wakitoa mapuvu
Hahahahaha
Nyani Ngabu Vs Team Wema
Wacha niongeze popcorn hapa mpaka patakapokucha kama mayweather na paciayo