Kampeni za Urais: Nani wako nyuma ya Lowassa na kwanini?

Tunaambiwa kuna kambi mbili kubwa Lowassa ameenda nazo chadema.. Friends of Lowassa na 4U movement.

Hizi kambi ndio zinasimamia kila kitu kuhakikisha ushindi.

Awa watu ni kina nani kwa majina na vyeo vyao??

Tulia unyolewe, mwenyekiti wako alishakuambia ya kuambiwa changanya na ya kwako usipende ya kuambiwa na nape
 
Tunaambiwa kuna kambi mbili kubwa Lowassa ameenda nazo chadema.. Friends of Lowassa na 4U movement.

Hizi kambi ndio zinasimamia kila kitu kuhakikisha ushindi.

Awa watu ni kina nani kwa majina na vyeo vyao??

Kwani Nani Wako Nyuma Ya Magufuli?
 
Mimi sina chama wala kundi. Ukweli mweupe CCM ilishajisahau siku nyingi kwa wazo kuwa wabongo wapo usingizini kumbe waliamka tangu juzi. Sasa ni watatumia chochote kilicho karibu kuimaliza kabisa kabisa CCM kwenye ramani. Mwenye macho haambiwi tazama. Hayupo wa kuokoa safari hii. Kila jani lenye rangi ya kijani litapigwa chini.
 
wewe mengi ndo kiongozi wa mpango huo tangu 2013 katika mpango wa rais lazima atoke kasikazini,habali za kiintelijensia zinajua na ndo maana alikuwa namuandama kikwete na serikali yake kila siku,

kisa vitaru vya mafuta na gesi,

jifunze namna ya kuchangia na pia uwe walau na point zenye mashiko zitakusaidia kuyajua mengi kulipo kushadadia habari usizozijua.
 
Wa kwanza ni mimi.
Nimempatia bil 5.
Nahsi zinatosha kwa kunywea maji kwenye zoezi zima.
 
Kuliko wewe huna jipya kbs mipovu unafikiri utapata kazi ya kufuta viatu nenda red brigade shwain
 
Kwa sasa MaCCM yang'oke kwanza. Hayo mengine tutaulizana baadae.

Ndugu zangu mnanitia aibu. Nishashauri sana tubadili namna ya kujenga hoja zetu kuhusu ujio wa EL. Hivi utaitofautisha CDM na CCM kwa lipi siku hizi? Lipi? Kina Mzindakaya, Mgeja, Guninita, Ole nani nani sijui tunao huku.

Na tunawajua ndiyo waliokuwa CCM haswaa. Hamuoni kama tumeshauza chama na hatuna tofauti na CCM A+ wala si B tena?

Kwa taarifa yako hawa ndiyo walikuwa wanavuruga sifa za chama chao kw uchafu wao so huku wamehamia ili kuja kuendeleza wizi wao kule.

Ni ma oppotunist na wamehisi kule panaanguka ndiyo wanajiwahi huku ambako wanadhani patainuka waendelee kutuchuna.
 
Tunaambiwa kuna kambi mbili kubwa Lowassa ameenda nazo chadema.. Friends of Lowassa na 4U movement.

Hizi kambi ndio zinasimamia kila kitu kuhakikisha ushindi.

Awa watu ni kina nani kwa majina na vyeo vyao??
ni wewe na wenzio mnaomjadili kila kukicha. hakuna kampeni nzuri kama mgombea kujadiliwa, huku mwenzake akisahaulika
 
Ujio wa Lawrence Masha ndio ujio mkubwa tangu watu waanze kuingia UKAWA kwa sababu kati ya wale wana Chichiem mtandao muhimu waliokuwa pembeni ya EdLow huyu ni mtu muhimu na si kina Mgj n mdbd.Hao wengine walikuwa wanatumika kama visafisha njia tu lakini kwenye top 11 hawakuwepo hata mmoja.Sasa ninaanza kuona dalili za wakubwa wengine kujitokeza hadharani baada ya kukaa nyuma ya pazia muda mrefu japo wapo watakaobaki ili kutumika wakiwa humohumo ndani ya nyumba ya kijani.Sidhani kama EdLow anaweza kuwaruhusu wote waje upande wake wakati anataka kushinda mapema 25oct muda 2:30 asubuhi.Kwa hiyo kuna oil chafu ambayo imeganda ndani ya injini ambayo ndio inayoweza kuziba sehemu muhimu na matokeo yake ni injini kunoki..
 
Watu wengine bwana eti Lowassa hawezi kuwa rais utadhani wao ndio wapiga kura Na wengine hatutapiga
 
Back
Top Bottom