kampeni za uchaguzi kwenye kijiji cha senge mkoani ruvuma

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Mgombea alienda katika kampeni za uchaguzi kwenye kijiji cha SENGE mkoani ruvuma..
salaam ikawa hivi,
mwenye kiti na katibu Wa..senge... ndugu wananchi Wa..senge...vijana na wazee Wa..senge..habari zenu???? WATU KIMYA...
Akaendelea...wananchi Wa..senge..oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
WANANCHI:Mwenyeweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!
LONG TIME WAKUU
 
Kuna shule inaitwa hivyo iko Singida kama sikosei,naambiwa walimu wake na wanafunzi walishindwa kujitambulisha kwenye sherehe za meimosi
Wangejitambulisha tu, badala ya kusema sisi walimu na wanafunzi wa.senge wangesema sisi walimu na wanafunzi toka shule ya msingi Senge.
 
Kuna shule inaitwa hivyo iko Singida kama sikosei,naambiwa walimu wake na wanafunzi walishindwa kujitambulisha kwenye sherehe za meimosi
ipo tena kibao chake njiani tu ukiwa unaenda mwanza
 
Back
Top Bottom