Kampeni za CHADEMA katika picha: Malula na Usa River - Arumeru [March 24]

Tangu lini picha ni ushindi; jiulizeni yafuatayo

a. under 18 walikuwa wangapi?

b. Wenye kadi za kupiga wangapi?

c. Wataenda kupiga kura? commitment

d. kwenye hiyo wangapi ni ccm wamekuja kusikiliza tu? wangapi wamekubaliana na sera zenu?

acheni matumaini mfu..matokeo ni 28% cdm na 72% ccm; anyway mmejitahidi kutangaza chama

mnapenda takwim?? Vìp ile taasisi ya red cat sijui rid and eat mnaijua wenyewe.vip mbona imetokomea, au inasubiri mpaka tarehe za karibu na kupiga kura
 
Kwi kwi kwi, teh teh teh!

Wamekuja kupoteza wakati jumamosi, hawana pakwenda.

Wengi wenu mmesahau, Igunga, Uzini, Iringa!
 
Hata viongozi kwenye jukwaa wanaonesha kukata tamaa!

Magwanda poleni sana.
 
kamanda hiyo imetulia cdm imeshashinda bila hata kamanda mkuu mbowe kuanza shambulizi la mwisho mi mwenyewe nilikuwepo mkutano wa usa-river kweli nimekuwa nafanya utafiti kweli kinamama wengi na wazee wameikubali CHADEMA mno and their ready for change just wait.
 
Kwi kwi kwi, teh teh teh!

Wamekuja kupoteza wakati jumamosi, hawana pakwenda.

Wengi wenu mmesahau, Igunga, Uzini, Iringa!

Tunakumbuka Igunga yule mama aliyevaa mtandio tukaambiwa ni hijab! Kuna watu wanajua kuukejeli uislam hadi wanatia hasira, mtandio na hijab wapi na wapi?
 
tangu lini picha ni ushindi; jiulizeni yafuatayo

a. Under 18 walikuwa wangapi?

B. Wenye kadi za kupiga wangapi?

C. Wataenda kupiga kura? Commitment

d. Kwenye hiyo wangapi ni ccm wamekuja kusikiliza tu? Wangapi wamekubaliana na sera zenu?

Acheni matumaini mfu..matokeo ni 28% cdm na 72% ccm; anyway mmejitahidi kutangaza chama


under 18 ni makamanda wa kesho,idadi u na macho hesabu mwenyewe na pia hao nao ni wenzetu hatuna ubaguzi hata miaka 2 anaruhusiwa kuhudhuria.
Wivu wa nn!ganga yako na njaa zako
 
Siyo kwamba natania, nasema kura tutazilinda kwa gharama yoyote.
Tutazilinda kama tulivyozilinda za Arusha mjini.

mkuu Mungi kura zinatakiwa zilindwe kuliko za Arusha mjini maana magamba hapa hawatoki tayari shingo imeshaelekezwa kibla ni kuchinja tu hapo 1/4 uwepo wa watoto na under 18 ni vizuri maana wanaanza kuivishwa ili ikifika 2015 wawe makada wa kueneza sera nchi nzima pale tukio la kihistoria la kuing'oa ccm madarakani litakapotimia!!
 
Tangu lini picha ni ushindi; jiulizeni yafuatayo

a. under 18 walikuwa wangapi?

b. Wenye kadi za kupiga wangapi?

c. Wataenda kupiga kura? commitment

d. kwenye hiyo wangapi ni ccm wamekuja kusikiliza tu? wangapi wamekubaliana na sera zenu?

acheni matumaini mfu..matokeo ni 28% cdm na 72% ccm; anyway mmejitahidi kutangaza chama
Hiyo under 18 ndo nimeipenda maana ukikichukia maga.mba bado mdogo ukiwa over 18 unachukua jembe mwenywe kwenda kukizika
 
Daktar alisema tumewakaba koo,na wamekabwa ko kwel kwel.chadema hoee,hoeeee!chadema juuu,ju zaidi ya ccm.watesa nchi wamekubali sasa wanarusha matusi tu,yote hayo ni dalili za kushindwa.
 
Nimeridhishwa na jinsi ambavyo watu wengi wamekuwa wakijitokeza katika mikutano ya kampeni ya CDM, lakini pia nimekuwa nafurahishwa na namna ambavyo wadau tofauti wameendelea kutupatia matukio tofauti kwa jinsi yanavotokea namna zote zinaonesha kuwa CDM inakubalika saana na hasa kwa watu wenye umri wa kati na zaidi vijana. Nitoe mwito kwa vijana wenzetu ambao mmekuwa mstari wa mbele kutuhabarisha, sasa muanze kuwahamasisha wapenzi na washabiki wa CDM, walioko Arumeru wajitokeze kwa wingi kupiga kura tarehe moja april, kwa sasa tujikite zaidi kuhamasisha wapiga kura jumapili ya tarehe moja april wajitokeze kwa wingi bila kujali hali ya hewa ya siku hiyo au misululu mirefu itakayokuwepo siku hiyo, kwani kila kura moja itakuwa na nafasi ya kuleta mabadiliko.
 
Back
Top Bottom