Elections 2010 Kampeni za CCM katika picha - toa maoni yako

Siasa ni mchezo wa ajabu. Huyu jamaa amejifanya kukaa na huyu mama; wakati wenye akili tunajua anamhadaaa!! shida yake ni kura tuuuu!!!

Go Slaa, Go. Wembe ule ule.

Mkuu si uliona jinsi Kawambwa alivyopiga magoti kwenye picha ya jk! Hawa jamaa noma sana, wanaamkia hadi watoto wa chekechea! Sasa ndo sawa na hapo. Hata ukimwambia alambe miguu hataona shida,subirini achukue nchi ni vilio na kusaga meno.

Hamtaamini kama ndo yule aliyekaaa kwenye mavumbi. Usisahau ndo huyuhuyu alipanda miti akiwa juu ya zulia a.k.a akiogopa kuchafuka.
 
hII NDIO KAMPENI YA SHUKA KWA SHUKA. cHEKI MKONO WA HUYO MAMA ULIPOSHIKA. ALIANZA KUJIFEEL SHUKANI. HAHAHAAAAAAAAAAAA

Makete_1.jpg

HATUDANGANYIKI NI SILAAA TU
 
kULA ZINATAFUTWA HAPO? NA HUYO NI RAIS ALIYEPATA 82% YA VOTE FIVE YEARS AO!!!!?????
 
Ni ngum kuwa na chemistry hapo na hakika JK alikaa kwa ajili ya fursa ya picha na hakupoteza hata dakika hapo
 
Ni ngum kuwa na chemistry hapo na hakika JK alikaa kwa ajili ya fursa ya picha na hakupoteza hata dakika hapo

Tatizo ni hiyo "zero dis...." na mkono wa huyo wa pembeni, pia hizo tabasamu toka kwenye nyuso zote mbili!
 
Ni kama vile dada alikwenda kumuamusha chini baada ya kuanguka. Hivi na leo kaanguka tena?
 
With all respect, the guy is humble.

Humbleness is not a seasonal behaviour. The guy is desperate now, he want votes at any cost.... even at the cost of blood from that poor woman. Dr Wilbroad Slaa is humble all year long.
 
Mwanzoni nilifikiri amedondoka, na huyu binti anajaribu kumwinua. Maana hapo walipokaa pana mtelemko, na kofia ile ameidakia upande wa kushoto! Halafu nilipoona hio Bajaji nikapata mawazo tofauti labda ndio ameanza kutekeleza ahadi zake. Nikawa nimeguna kumbe naye huyu anaweza kuwa muungwana. Ikanibidi nimchunguze tena huyu binti kama ni mjamzito inaelekea hapana. Sasa kuna nini pale?

Nikakumbuka picha nyingine ya Raisi akiwa anaotesha mti, alipiga goti kwenye zulia ili aweze kuotesha mti. Hapa doh! amemshika binti kwa nyuma kwa mkono wa kulia, ana tabasamu la nguvu, miguu yote ameiacha hewani unaweza hata ukaona chochote alichokikanyaga kwenye viatu vyake.

Sasa nakuuliza Kingi, una maana hizi ndizo picha za kampeni za CCM! Acha bwana hawajachachuka kiasi hiki! Tumpe haki yake naye!
 
kibs,

hao jamaa kwenye picha wamenunua hizo kofia na tisheti kwa pesa zao wenyewe?
 
Back
Top Bottom