Kampeni ya usafi wa mazingira bila PPE

Kampeni ya usafi wa mazingira bila PPE

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,830
Reaction score
12,318
Jana hapa Mnazi mmoja Mh Makam wa rais alikua akizindua kampeni ya usafi wa mazingira. Cha kusikitisha, wahusika hawakumpa persanal protective equipment (ppe) kama gloves,mask, etc avae. Wao walimpa mfagio tu afagie kama ishara ya uzinduzi. Hii itasababisha yale makampuni binafsi ya usafsi kutokutoa PPE kwa wafanyakazi wake,kwan hata viongozi nao hawatumii.
 
kampen hiyo haitafanikiwa kamwe hasa kwa Dar,kwani ni mara ngapi uzinduz umefanywa,Dar ni chafu,dar haifai,dar inanuka,nani atakuwa mlinz wa mwenzie?nadhani lengo au jambo muim ni kuwajengea raia,tabia ya kupenda kusafisha mazngra
 
Haina shida wewe unapofagia kwako huwa unavaa PPE.
Tuzoea usanii wa viongozi kuwekewa mkeka ili suruali isichafuke wakati anapanda mti.
Kwa wanaofanya kazi hiyo PPE ni sehemu ya vifaa vya lazima.

Uchafu dar ni tatizo, wengi ya wanaolaum ndo wachafuzi namba moja.
Ni mara ngapi umetupa uchafu kama kopo la soda/bia, vocha ilotumika, karatasi la ice cream au chupa ya maji tena unakuta unaendesha gari la kisasa?
Baadhi yenu hata watoto wenu hamuwafundishi kuheshimu mazingira.
Mbona mkienda nchi za watu hamfanyi hivyo?

Mara nyingi tu nimegombana na watu barabarani maana unakuta mtu smart kweli lakini anatema makohozi kwenye lami.

Hata sijui kwa lipi watanzania ni mahiri.
 
Jana hapa Mnazi mmoja Mh Makam wa rais alikua akizindua kampeni ya usafi wa mazingira. Cha kusikitisha, wahusika hawakumpa persanal protective equipment (ppe) kama gloves,mask, etc avae. Wao walimpa mfagio tu afagie kama ishara ya uzinduzi. Hii itasababisha yale makampuni binafsi ya usafsi kutokutoa PPE kwa wafanyakazi wake,kwan hata viongozi nao hawatumii.

mkuu... i swear to God.... hii ni siasa mchana kweupeee... kwanza miundo mbinu ya kutekeleza azma ya usafi ipo wapi ...magari ya kubebea taka hayatoshi... collective points kama dump buckets hamna... garbage bins hazipo... kibaya zaidi ...madampo hamna...hii yote ni sawa sawa na nyumbani kwako ukafanya usafi sebuleni halafu ukaenda kuumwaga jikoni..... kufanya usafi sehemu moja ya jiji na kwenda kuchafu sehemu nyingine
 
Back
Top Bottom