Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

KATI YA BATILDA NA LEMA YUPI ATIBUKA KIDEDEA?


  • Total voters
    52
Huyo mama ana Mimba? so mtu mwenye Mimba ndo amehalalishiwa kuwapa watu rushwa? mbona mzee sikelewi na kukusoma? Rushwa inabaki kuwa dhambi no matter who is involved, and what thpe of gender was involved.
Ona sasa wanaambukiza hata viumbe walio bado tumboni,yaani kukurukakara zote hizi mtoto nae si atazaliwa na inherited FIS--HADISM!!!
 
Batilda analeta siasa zake za Kimalaya katika Taifa hili. ipo siku atapata maafa makubwa kuliko hayo.
 
Batilda analeta siasa zake za Kimalaya katika Taifa hili. ipo siku atapata maafa makubwa kuliko hayo.

Hiyo ndiyo lugha gani ya kumsema mama wa watu kwa vile tu yuko CCM? Hebu punguzeni hayo maneno yenu yasiyo na mantiki kwa visingizio vya kuwa opposition.

Ingekuwa mama yako au dada yako ungekubali aitwe hivyo? Na hayo maafa makubwa wewe ni Mungu unaejua mipango yote ya wanadamu?
 
Hii ingebidi iwe imefanyiwa ile gari ya Azam iliyokuwa na kura feki. Nafikiri baada ya dola kuwa ni cccm, wanachi hawana la kufanya zaidi ya kusaidia serikali ambayo imeshafumba macho kwa kila uovu wanaoufanya.

Hizi ni dalili watu wameshachoka kuivumilia ccm kwa upuuzi wao waliouzoea.
 
:A S 103: No comments, Japo Tarime ilikuwa vile, serikali kwa ujumla iliweza kutenda haki kwa chaguzi zote. Hakuna kilichoibwa baada ya pale. Labda Arusha nao wame-ihnerit... lets c after 31/10/2010
 
:A S thumbs_up:
Jamii forum mpo juu. nikiwa kama mwanachama mpya ambaye leo hii ndo mara yangu ya kwanza kutoa maoni yangu. ningependa niwashukuru wanachama wenzangu wa jamii forum kwa michango/mawazo yenu mazuri yenye ukweli isipokuwa hao wachache wenye chembembeche za ufisadi wanaopinga siasa za ukweli zinazojionesha wazi.
Nikija kwenye swala la huyu Batilda ana kazi ya ziada ya kufanya kuliokoa jimbo lake kama atathubutu, yeye anafikiri wananchi bado wamelala usingizi wa pono kumbe watu tupo makini tunafuatilia kila jambo kwa ukaribu na kwa kutumia busara. Hongera sana kwa hao wafanyakazi waliomuwekea pozi la kufa mtu na wakimuonesha alama ya vidole viwili wakimaanisha hana chake hivyo ale kona fasta kabla hajageuzwa ndafu wa shughuli. Huo ni mwanzo tu, wananchi tupige kura tumchague yule anayefaa, yule aliyeweza kuwata hadharani mafisadi bila ya kuhofia chochote. Kumbe Tanzania ina vichwa vilivyotulia kama rais wetu mtarajiwa Dr. Slaa.:pray:​

baeleze, Arusha tumechoka na CCM, tangu nikiwa kachanga hadi leo ni CCM tuu, infact hatuoni CCM iliyotufanyia, Chadema :A S thumbs_up:
 
hivi nyie vijana wa arusha bado mnamwachia batilda dental formula yake? hakikisheni hata kama attapishwa kuwa mbunge hana dental formula
 
Hiyo ndiyo lugha gani ya kumsema mama wa watu kwa vile tu yuko CCM? Hebu punguzeni hayo maneno yenu yasiyo na mantiki kwa visingizio vya kuwa opposition.

Ingekuwa mama yako au dada yako ungekubali aitwe hivyo? Na hayo maafa makubwa wewe ni Mungu unaejua mipango yote ya wanadamu?

...kama amebeba mimba ya Lowassa tena nje ya ndoa tumuiteje.?.....ndio maana hadi sasa ameshindwa kumleta anayedai kuwa ni mmewe...angalau amtambulishe kwa mashemeji zake pale arusha.....
 
katika wazushi walio kubuhu wewe ni mwalimu wao, haijawahi kutokea kitu kama hicho kwa dr. Batilda Burian hata siku moja hasa viwandani. Kwa mtu wa kawaida asiyesoma anajua vizuri kuwa huwezi ingia viwandani kama haujaandaliwa na viongozi wao iweje wafanyakazi wajifanye busy, wakati alialikwa ? tumia akili na uache uongo kama wa godless lema

Mi niliandamana nae kwenye kiwanda kimoja ambacho aliaklikwa na uongozi kwamatatizo yao, lllakini wafanyakazi walitoka kama nyuki kuja kumshangilia na kumuahidi kura zao, hata wacthman akatulaumu kwa nini hatukuwaarifu ili waje hata walioko majumbani.

Kwakukufahamisha tu Dr.Batilda atapata zaidi ya asilimia 85 ya kura zote za arusha, na huyo mwizi, tapeli asiye na kisomo chochote asie na sera ila kutukana kwenye majukwaa tu na tena anatukana hata watu wasiogombea ubalozi wa nyumba kumi. Atuonyeshe cv yake kama anayo.
Chadema mmejinyonga wenyewe arusha hamna kitu mmefulia kwa sabuni ya punda, hamkuweza hata kufikiria huyu tapeli kumleta mji maarufu na nyeti kama huu. ALishawahi kupatikana na kesi ya ujambazi akiwa na watotowa mzee kileo hata mmoja wao alipigwa risasi akafa watu wote tulishuhudia hapo motuary, leo hii atamshinda nani hata wewe ungemshinda kwa kura. na alishawahi kupewa rushwa akafuta kesi mahakamani ya kushinda ubunge je unataka na sasa apewe rushwa aachie ubunge mmchelewa.

Nahisi kuna tatizo coz hapa naona tu plain text.

A Great thinker!!!!
 
Leo majira ya saa 6 mchana, mgombea ubunge wa CCM Arusha mjini hakuamini kilichotokea pale alipofanya ziara yake ya kushtukiza, nia na madhumuni kuja kuwaomba kura kwa wafanyakazi wa kampuni ya kutengeneza nguo Sun flag, nikiwa ktk msafara huo viongozi walimpokea vizuri kasheshe alipofika kwa wafanyakazi, wafanyakazi walikuwa wapo buzzy na kazi zao huku wengine wakinyoosha ishara ya vidole viwili juu na kumkatisha tamaa mama wa watu kwa mapokezi ya kichovu. Na alipotaka kuongea nao walimwambia sisi ni mbayuwayu na ndege siku zote haongei. Hadi mwisho wa ziara yake hiyo alionekana kuchoka kwa huzuni.

Lakini ukiangalia kwa makini utagundua CCM na rushwa haviwezi kutengana hivyo Batilda ni kama ishara tu lakini wagombea wote wa CCM wanahusika na rushwa kwa namna moja ama nyingine.
 
chadema wajinga sana wamekosa mtu wa kumsimamisha hadi kuangukia kwa tapeli lema.lema anajulikana ni mbabaishaji hana maana kabisa watu na akili zao hawawezi kumchagua mtu kwwasababu ya umaarufu wa chama.nilitegemea operesheni sangara ingetupatia watu wasafi badala yake mnakimbilia magarasha ya tlp
matusi ya nini sasa!
 
SUBIRA NA NGONGO MSIJIDANGANYE. MIMI NIKO ARUSHA MJINI NA HUWA NIKO SANA PEMBEZONI MWA MJI ‘ KWA UFUPI BATILDA ANA HALI MBAYA SAAANA. NA HAWEZI KUSHINDA LABDA UTOKEE WIZI WA HALI YA JUU SANA AU MUNGU MWENYEWE AAMUE ASHUKE.

NASEMA HIVI KWA SABABU NINA EVIDENCE


  1. NIMEHUDHURIA MMOJAWAPO WA MIKUTANO YAKE YA UFUNGUZI WA KAMPENI PALE SHULE YA MSINGI KIMANDOLU BAADA YA DK SLAA KUPITA. MKUTANO ULE HAUKUWA NA WATU ZAIDI YA 100 NA WENGI WALIKUWA WATAKA WASIKILIZE MZIKI WA MWANAMUZIKI WA BONGO FLEVA. MZIKI ULIPOISHA BATILDA AKAPANDA JUKWAANI NA WATU WAKAONDOKA AKABAKIA NA WENYE NGUO ZA KIJANI WASIOZIDI 50.
  2. JUZI JUMAMOSI TAREHE 16/10/2010 SAA 10. JIONI ENEO LA TINDIGANI KIJENGE JUU ALIKUJA NA DK. BILALI NA NILIKUWEPO. SUBIRI NA NGONGO MNGEKUJA MACHOZI YANGEWATOKA KWANI IDADI YA WATU ILIKUWA NUSU YA ILE YA MIKUTANO YA UBUNGE YA G. LEMA. UNFORTUNATELY NA WALIOKUWEPO WALILETWA NA HIACE ZISIZOPUNGUA 8

KUHUSU USAFI WA WAGOMBEA NI KWAMBA “ ALIYE SAFI KULIKO WOTE MIONGONI MWA SUBIRA, NGONGO, KILEO, BATILDA NA LEMA NA AWE WA KWANZA KUMRUSHIA MWENZAKE JIWE. AU WEWE UNAFIKIRI NI NANI?

Tusiwe na denials za wazi tuwe genuine katika argument zetu kwani ni jambo la wazi kabisa DK Batilda kuna kata hatapata hata kura 1000. Mikutano ya Batilda inajazwa na vikundi vya akina mama wanaojazwa kwenye Hiace na kuzunguka naye huku wakiwatukana wafuasi wa CHADEMA matusi kwa kuonyesha alama ya vidole. Mimi ni mmojawapo niliyetukanwa wakati nimejikalia tu nakunywa soda pale Kijenge kati. Batilda anapigiwa debe na wanywaji wa Dadii waliojawa na matusi tena wamama watu wazima wasio na mwelekeo.

Mara nyingi huwa naamini tabia ya wafuasi wa mtu inatoa taswira ya kiongozi wao. Kama walivyo hawa akina mama ambao hawana chembe ya soni wala staha.

Tathmini yangu inampa Batilda asilimia 15% ya kura za Arusha mjini lakini ya 85% au zaidi ni ushindi wa G.lema wa CHADEMA.

Subira na Ngongo kubalini matokea game limeisha hili msije pata pressure bure

ya kale thahabu
 
Back
Top Bottom