Kampeni ya "Magufuli Baki" yaanzishwa. Yeyote atakayepinga atachukuliwa hatua

John-Pombe-Magufuli-750x375.jpg

Rais John Pombe Magufuli ameendelea kupongezwa na wananchi pamoja na Taasisi za kiraia mbalimbali kutokana na misimamo yake na kazi kubwa anayoifanya ya kupigania rasilimali za nchi, kwa masilahi ya wanyonge na masikini.

Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti leo, Julai 17, 2017 jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Masjid Ridhwaa, Alhaj Suleiman Seif Nassor na aliyekuwa mgombea wa CCM wa Ubunge Jimbo la Sengerema kupitia kura ya maoni, Laurence Mabawa.

Wakati akizungumza na wanahabari, Alhaj Nassor amesema bodi hiyo imemamua kumpongea Dkt. Magufuli kutokana na kazi nzuri anayofanya tangu alipoingia madarakani.

Kwa upande wake Mabawa, amesema licha ya kumpongeza Rais Magufuli, ameandaa kampeni kabambe inayojulikana kama ‘Magufuli Baki’ inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni kwenye mikoa yote nchini, ambapo kupitia mikutano wananchi wenye nia njema watamuomba rais abaki katika msimamo wake wa kuwatetea wanyonge na masikini.

“Kampeni ya Magufuli Baki itahusisha mikoa yote ya Tanzania kwa kuwafikia wananchi wakiwemo wanafunzi wa sekondari kwa kufanya mikutano yenye nia njma ya kumwomba Rais abaki kwenye msimamo wake, kampeni hii itawapa fursa wananchi kutoa maoni yao kuhusu utendaji kazi wake iwe kwa kupongeza au kukosoa,” amesema.

Katika hatua nyingine, Mabawa amelaani baadhi ya wanasiasa na wananchi wanaotoa lugha za maudhi na kejeli kwa watu wanaojitokeza hadharani kumpongeza Rais Magufuli na serikali yake.

“Niombe TCRA kuwachukulia hatua kali wote wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya kwa kuwatolea maneno ya kejeli na kuudhi watu wanaojitokeza kumpongeza Rais,” amesema.

Si kweli kwamba Rais ni mtetezi wa wanyonge. Angekuwa mtetezi wa wanyonge, basi asingethubutu kamwe kuzuia pesa za wafanyakazi kwenye mifuko ya jamii. Tuache unafiki, tumsahihishe anapokosea na si dhambi kumsahihisha.
 
Akili za kipumbavu
John-Pombe-Magufuli-750x375.jpg

Rais John Pombe Magufuli ameendelea kupongezwa na wananchi pamoja na Taasisi za kiraia mbalimbali kutokana na misimamo yake na kazi kubwa anayoifanya ya kupigania rasilimali za nchi, kwa masilahi ya wanyonge na masikini.

Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti leo, Julai 17, 2017 jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Masjid Ridhwaa, Alhaj Suleiman Seif Nassor na aliyekuwa mgombea wa CCM wa Ubunge Jimbo la Sengerema kupitia kura ya maoni, Laurence Mabawa.

Wakati akizungumza na wanahabari, Alhaj Nassor amesema bodi hiyo imemamua kumpongea Dkt. Magufuli kutokana na kazi nzuri anayofanya tangu alipoingia madarakani.

Kwa upande wake Mabawa, amesema licha ya kumpongeza Rais Magufuli, ameandaa kampeni kabambe inayojulikana kama ‘Magufuli Baki’ inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni kwenye mikoa yote nchini, ambapo kupitia mikutano wananchi wenye nia njema watamuomba rais abaki katika msimamo wake wa kuwatetea wanyonge na masikini.

“Kampeni ya Magufuli Baki itahusisha mikoa yote ya Tanzania kwa kuwafikia wananchi wakiwemo wanafunzi wa sekondari kwa kufanya mikutano yenye nia njma ya kumwomba Rais abaki kwenye msimamo wake, kampeni hii itawapa fursa wananchi kutoa maoni yao kuhusu utendaji kazi wake iwe kwa kupongeza au kukosoa,” amesema.

Katika hatua nyingine, Mabawa amelaani baadhi ya wanasiasa na wananchi wanaotoa lugha za maudhi na kejeli kwa watu wanaojitokeza hadharani kumpongeza Rais Magufuli na serikali yake.

“Niombe TCRA kuwachukulia hatua kali wote wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya kwa kuwatolea maneno ya kejeli na kuudhi watu wanaojitokeza kumpongeza Rais,” amesema.[/QUOTE]
Akili
 
Hii nchi tunahitaji msaada Mkubwa kutoka Mbinguni tu ili tusalimike.
Maana viongozi wetu, walishatuona kama takataka.
Mtu, hajamaliza hata muhura wake; mnaanza kampeni za ajabu! Kwa lipi katenda hadi atawale kifalme?

Post sent using JamiiForums mobile app
Hakuna cha msaada tutumie akili,mbinguni tuwaachie malaika

May Allah bless Me and You
 
Huyu angekuw Raisi sikukuu zisingeisha Anataka tupongeze wakati kazi bado nawashauri viongozi "kila mmoja atimize wajibu" wake na huu ni muda wa kazi sio mda wa kupongezana maana hii ni asubuhi sana kulingana na tulikotoka na tunakoenda. Huwa najaribu kufikiria kwamba kwa utendaji wa viongozi wengine wangekuwa kwenye huo uongozi wa mweshimiwa JPM tungekuwa ndo tunazid kupotea kwa hill simaanish napinga utendaji kaz wa Kiongozi wetu MWESHIMIW JPM ILA NAPINGA WANAOJIFANYA WAPO PAMOJA KUMUUNGA MKONO WAKATI MATENDO YAO HAYAENDANI NA KAULI YA "HAPA KAZI TU" sipongezi chama ila nampongeza MH JPM KWA KUJITOA KUTUPIGANIA WANYONGE "EE MUNGU MLINDE RAISI WANGU/WETU JPM" SIMAANISHI NDO NAKIPENDA CHAMA MI NAMPENDA KWA SABABU YA KUJITAHIDI KUINUSURU TANZANIA YETU ILA KWA HIZO KAMPE SIJUI MWESHIMIWA KAMA NAYE ANAUNGA MKONO MAANA HIZO NI SIASA MIDA YA KAZI....... NINAPOKOSEA NAOMBA USHAURI....NAWATAKIA SIKU NJEMA KATIKA KUJENGA TAIFA LETU ......
 
Back
Top Bottom